Mia saba
JF-Expert Member
- Mar 4, 2022
- 255
- 390
True story
Binafsi nilikuwa zaidi ya ngumu ngumu mno yaani bandidu extra nikajuaga hizo seli za kihisia juu ya mapenzi sikuanazo. Siku zikaenda zikasonga niliwaona wazuri na wazuri sana na kukiri kuwa ni wazuri Ila sikuwa na mda nao tena yaani kuhisi kua Kuna upendo wowote juu Yao bas simulizi inaendelea kusema wakati nafika chuo kikuu kwa miezi miwili ya mwanzo sikuwahi kuhisi kitu yaani kupenda na kujiuliza wale watoto tuliambiwa tutawakuta wakowapi Basi acha tu ngoja nipige shule niimalize hii safar vyema labda nitawakuta kazini😂
Laaaa haula! Nilianza kujikuta naanza kuvutiwa na kasichana kamoja hivi ka Dar 😂 baada ya kuwa tukishirikiana kimasomo nikawa najiuliza nini hicho hahaha😂 kila nikitembea nakawaza nikajua kale ni ka jini sikuamini nikamwambia uhalisia akasema sidhan kama tunaweza endana na wewe chochote kitu duuuu..!
Na mazoea akapunguza Nikaisi mapigo mazito moyoni hisia nisizo zijua zilinitawala kwa miezi kadhaa na shule nikawa nasoma ili nisi disco aseeeee miezi 6 nabembeleza Ila wapi mwisho wa siku kukonda 😂 kwa mawazo ndipo mwisho wa siku nikakubaliana na matokeo na kuachana naye baada ya kutokea mtu mwingine ila nikijitathmini yule ndo aliyekuwa na password za upendo wangu na angeinjoy kinoma basi tu haikuwa halali yangu.
Je, wewe ulijijuaje kuwa una hisia za kupenda kutoka moyoni.