Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Ulijuaje kuwa umri wako umeenda?

Salaam Wakuu,

Uliona nini ukajua kuwa sasa umri wako umeenda?

Yule konda wa daladala mwehu sana amefika kwangu kudai nauli si akanishtua "oya father nauli.." basii nikajisemea tu moyoni ni hizi shida au ndio uzee kweli maana ndio 31 now!

Hadi sasa nipo dilemma kukubaliana na hali hii. Ingawa sikamoo nazo napewa hapa na pale.!
 
Hatari
 
Salaam Wakuu,

Uliona nini ukajua kuwa sasa umri wako umeenda?

Nilipanda basi siti niliokaa alikuwepo binti amekaa na mtoto wake kama wa miaka 4 hivi halafu kamwambia Yule mtoto mwamkie babu!!!
Nikachoka Ila baada ya miaka machache Nakaanza kuzoea maana hata mtaani watoto wadogo wanakuamkia shikamoo babu[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Back
Top Bottom