Ulikua unapenda kwenda na nini Shule hasa hizi za Msingi?

Naona wahenga mnajaribu kukumbushiana enzi zenu.
 
Darasa lilikuwa linageuka kama makazi ya panya
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] c tulikuwa tunaita KUBUNGUA kama wale wadudu wanao kula kiini cha nafaka!!asubuhu kwny usafi c kwa ganda hzo ila mimi na mchele wa kuloweka,ukwaju kwny kikopo cha maji watia na sukari jmn those days ilikuwa raha sana!!
Alizeti kwenye mifuko ya kaptula.

Mahind ya kukaanga aisee
Yamenichafulia sana mifuko
Yang
 
Kuna siku dingi alinipa 200.niende nayo shule.akaniambia tumia 100.na 100 itakayobaki rudisha.daah
Nikajichanganya bhanaa.nikatumie yote 200.
Nilivyorudi home akaniuliza chenji yake.nikamkibu nimetumia.
Bhas kuanzia darasa la 4 mpaka la saba akawa ananipa sh 20 tu.mpaka nilipoingia sec ndo akaniongezea.
 
mimi nilikuwa napenda kwenda shule na kioo kwa ajili ya kukiweka chini ya sketi za wasichana nilikuwa naona vitu vizuri sana
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Fagio,kidumu cha maji na fuko la mbolea[emoji4] [emoji4] . Nina mti wangu niliupandaga mpaka leo bado upo,limekuwa limti likubwa
 
Ahaaa hii sitosahau, nikiwa chekeche/ la kwanza, tulikuwa tunaiba sukari, baba alikuwa ananunua ka gunia kazima, so watu walikuwa wanajua kwetu sukari haikosi.

Kwa sababu baba(rip) akitoka safari majirani wote ndugu walikuwa wakikusanyika nyumbani kuchukua mafuta ya taa, sukari, mchele baba alikuwa analeta vya kutosha, akitoka tu safari basi nyumbani utadhani kuna sherehe maana watu wakija kumuona basi lazima achinje ng'ombe

Sasa watoto umri wangu walijua kabisa sukari kwetu haikosi tukiwa tunatoka shule kila mtoto ananituma kesho niwaibie niwapelekee, si gunia basi nachota naficha tukifika shule naanza ku supply. Ahaaaa
Mara kadhaa mama alikiwa akinikanya kuiba sukari akiniuliza nasema mimi sijailamba wala kuiba kumbe midomo yote sukari.

Sasa siku moja mtoto wa shangazi akataka nimuibie sukari akasimama dirishani nachota namwekea kwenye kanga sijui shangazi ndo alimtuma? Wakati anaipitisha dirishani yote ikamwagika, ahaaaa nilichezea kichapo balaa.

Hata hela watoto wa shangazi walikuwa wanatuzidi umri wanatudanganya tuwachukulie pesa chumbani kwa mama. Na kweli siku moja nilimpa binti yake shangazi mama akajua eeeh kichapo sote na yule binti duh.

This life bana inabadilika sana, darasa zima mimi na mtoto mmoja ndo tulikuwa tunavaa viatu tuu, siku moja shoga yangu akanambia hajawahi kula nkate kesho nimuibie nimletee, nikamuuliza ntaweka wap? Akanambia kwenye soksi ahaaaaa nilikata kipande vidogo vidogo naweka kwenye soksi, nampelekea tunakula wote yeye ananiletea mahindi. au siku nyingine mkate naiba mapema nauficha nje barabara ya kwenda shule asubuhi nawapelekea mashoga zangu duh.enzi hizo mikate inatokea uganda tuu.ahaaaa
 
Siku mwalimu wa hesabu anafundisha mambo ya pai ara,huku Mimi nakula mihogo yangu iliyochomwa kwenye jiko la kuni,swali limeulizwa na Mimi nikazuga kunyoosha mkono,dah mwalim akaniotea nijibu swali,wee pande la muhogo limekwama kooni haliendi wala halirudi ,macho yote kwangu.hapo mwalimu hajajua anaona kama naleta jeuri tu.nilijua nakufa huku najiona,ila nashukuru yule madam alikuwa mwelewa,akanisamehe
 
Mkuu umenikumbusha mbali sana.
Aisee jamani tunatoka mbali mpaka sasa kwa uwezo wa Mungu tunakua na position hizi tofauti tofauti yani huwezi tegemea kabisa aisee.
 
  • Thanks
Reactions: CTX
Ahaaa hii sitosahau, nikiwa chekeche/ la kwanza, tulikuwa tunaiba sukari, baba alikuwa ananunua ka gunia kazima, so watu walikuwa wanajua kwetu sukari haikosi.

Kwa sababu baba(rip) akitoka safari majirani wote ndugu walikuwa wakikusanyika nyumbani kuchukua mafuta ya taa, sukari, mchele baba alikuwa analeta vya kutosha, akitoka tu safari basi nyumbani utadhani kuna sherehe maana watu wakija kumuona basi lazima achinje ng'ombe

Sasa watoto umri wangu walijua kabisa sukari kwetu haikosi tukiwa tunatoka shule kila mtoto ananituma kesho niwaibie niwapelekee, si gunia basi nachota naficha tukifika shule naanza ku supply. Ahaaaa
Mara kadhaa mama alikiwa akinikanya kuiba sukari akiniuliza nasema mimi sijailamba wala kuiba kumbe midomo yote sukari.

Sasa siku moja mtoto wa shangazi akataka nimuibie sukari akasimama dirishani nachota namwekea kwenye kanga sijui shangazi ndo alimtuma? Wakati anaipitisha dirishani yote ikamwagika, ahaaaa nilichezea kichapo balaa.

Hata hela watoto wa shangazi walikuwa wanatuzidi umri wanatudanganya tuwachukulie pesa chumbani kwa mama. Na kweli siku moja nilimpa binti yake shangazi mama akajua eeeh kichapo sote na yule binti duh.

This life bana inabadilika sana, darasa zima mimi na mtoto mmoja ndo tulikuwa tunavaa viatu tuu, siku moja shoga yangu akanambia hajawahi kula nkate kesho nimuibie nimletee, nikamuuliza ntaweka wap? Akanambia kwenye soksi ahaaaaa nilikata kipande vidogo vidogo naweka kwenye soksi, nampelekea tunakula wote yeye ananiletea mahindi. au siku nyingine mkate naiba mapema nauficha nje barabara ya kwenda shule asubuhi nawapelekea mashoga zangu duh.enzi hizo mikate inatokea uganda tuu.ahaaaa
Na sasa hivi umeolewa??
 
Wakishuaa
 
Back
Top Bottom