Joseverest
JF-Expert Member
- Sep 25, 2013
- 52,812
- 71,392
Kweli kabisa mkuu, yamedumuMifuko ya cement nilikuwa naitumia kuweka cover kwenye madaftari, yaani madaftari yapo imara hadi leo
Kuna ile mifuko ya kubebea madaftari made by GuniaMifuko ya cement nilikuwa naitumia kuweka cover kwenye madaftari, yaani madaftari yapo imara hadi leo
Yote hiyo imetumika mkuu.Kuna ile mifuko ya kubebea madaftari made by Gunia
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] c tulikuwa tunaita KUBUNGUA kama wale wadudu wanao kula kiini cha nafaka!!asubuhu kwny usafi c kwa ganda hzo ila mimi na mchele wa kuloweka,ukwaju kwny kikopo cha maji watia na sukari jmn those days ilikuwa raha sana!!Darasa lilikuwa linageuka kama makazi ya panya
Alizeti kwenye mifuko ya kaptula.
Mahind ya kukaanga aisee
Yamenichafulia sana mifuko
Yang
Watu tumetoka mbali sanaMfuko wangu wa marlboro au Ule wa gunia (salfeti)nahifadhia daftari zangu
Kumbe we wa juuzBiscuits za Azam
Na sasa hivi umeolewa??Ahaaa hii sitosahau, nikiwa chekeche/ la kwanza, tulikuwa tunaiba sukari, baba alikuwa ananunua ka gunia kazima, so watu walikuwa wanajua kwetu sukari haikosi.
Kwa sababu baba(rip) akitoka safari majirani wote ndugu walikuwa wakikusanyika nyumbani kuchukua mafuta ya taa, sukari, mchele baba alikuwa analeta vya kutosha, akitoka tu safari basi nyumbani utadhani kuna sherehe maana watu wakija kumuona basi lazima achinje ng'ombe
Sasa watoto umri wangu walijua kabisa sukari kwetu haikosi tukiwa tunatoka shule kila mtoto ananituma kesho niwaibie niwapelekee, si gunia basi nachota naficha tukifika shule naanza ku supply. Ahaaaa
Mara kadhaa mama alikiwa akinikanya kuiba sukari akiniuliza nasema mimi sijailamba wala kuiba kumbe midomo yote sukari.
Sasa siku moja mtoto wa shangazi akataka nimuibie sukari akasimama dirishani nachota namwekea kwenye kanga sijui shangazi ndo alimtuma? Wakati anaipitisha dirishani yote ikamwagika, ahaaaa nilichezea kichapo balaa.
Hata hela watoto wa shangazi walikuwa wanatuzidi umri wanatudanganya tuwachukulie pesa chumbani kwa mama. Na kweli siku moja nilimpa binti yake shangazi mama akajua eeeh kichapo sote na yule binti duh.
This life bana inabadilika sana, darasa zima mimi na mtoto mmoja ndo tulikuwa tunavaa viatu tuu, siku moja shoga yangu akanambia hajawahi kula nkate kesho nimuibie nimletee, nikamuuliza ntaweka wap? Akanambia kwenye soksi ahaaaaa nilikata kipande vidogo vidogo naweka kwenye soksi, nampelekea tunakula wote yeye ananiletea mahindi. au siku nyingine mkate naiba mapema nauficha nje barabara ya kwenda shule asubuhi nawapelekea mashoga zangu duh.enzi hizo mikate inatokea uganda tuu.ahaaaa
Ahaaa changia mada weweNa sasa hivi umeolewa??
Jibu swali bwana [emoji23] [emoji23] [emoji23]Ahaaa changia mada wewe
WakishuaaAhaaa hii sitosahau, nikiwa chekeche/ la kwanza, tulikuwa tunaiba sukari, baba alikuwa ananunua ka gunia kazima, so watu walikuwa wanajua kwetu sukari haikosi.

Wakishuaa