Roger Sterling
JF-Expert Member
- May 10, 2015
- 13,012
- 23,633
Ha ha ha kama nakuona shati limejaa upepo mgongoni limekua kama puto afu umechomekea mpendwa tukikutana upo Kwenye hali hiyo nakukimbia
HahahahhaahhaaAlafu ukute mwanaume mwenye makalio makubwa avae trouser ya kitambaa- balaa kabisa tena iwe ya kushonesha!!! Mmmh
Halafu nina briefcase moja kubwa hivi, ndani nimeweka maji na gazeti la udaku. Na mchina mmoja unajaa mkononi. Utanitaka mbona.
ππ
Halafu unatembea ule mwendo wa kurusha bega moja na kuvuta hatua.
hatari sana....Mkuu, hili jina lako gumu hivi umelitoa wapi? na lina maana gani au the story behind?
ila mimi kwa sasa nipo mbali sana kulinganisha na wao wenye swagger hizo za kijanjaIla huu unao itwa usafi kwa vijana wengi wa kuime unapita mipaka, Kijana ili aonekane msafi anapaka powder, sijui anatinda nyusi eti unakuta baba zima eti amepanga foleni asuguliwe miguu na kukutwa kucha tena saloon za kina dada zetu..
unanikumbusha enzi za suruali za tokyo, bioct and legsHalafu nina briefcase moja kubwa hivi, ndani nimeweka maji na gazeti la udaku. Na mchina mmoja unajaa mkononi. Utanitaka mbona.
Mkuu samahani kidogoila mimi kwa sasa nipo mbali sana kulinganisha na wao wenye swagger hizo za kijanja