tucker carlson
Senior Member
- Oct 5, 2025
- 182
- 759
Amesema ili pop out tu pale juu, hakukaguaKwann ukague simu ya mpenzi wako??
Kama unapendwa amini kuwa unapendwa na mnapendana. You don't have to pry into their phone, to prove Love.
I second you!Ndugu Payge na Cookie tafadhalini sana mwambieni ndugu Maxence Melo mtengeneze algorithm ambayo ikiona neno fulani kwenye heading ya uzi, basi A.I iupeleke uzi husika kwenye jukwaa husika.
Inakera upo jukwaa la siasa unakutana na uzi wa mahaba, na sisi wengine tunaopata notification ya uzi mpya jukwaa la siasa unafungua mbio mbio kumbe no mapenzi/umbeya/michezo!
Kwann ukague simu ya mpenzi wako??
Kama unapendwa amini kuwa unapendwa na mnapendana. You don't have to pry into their phone, to prove Love.
Kabla haujafa ni lazima uwe na simulizi za kiwango chako hadi wanaokusikiliza wakuonee wivu bila kujali ni za kufurahisha au mateso.
Sishiki simu ya mtu kwanini nifanye hivyo.
Haujafa haujaumbikaUnamaanisha nini mkuu?