MLEVi Mmoja
JF-Expert Member
- Jun 29, 2019
- 8,514
- 15,050
Hao ndo wapigaji sasa
Ila sijawah kutana nao halafu sio rahis kukataa mpangaji kwa uchumi huu unless labda utakuwa hauaminiki umekaa kijambazi jambazi
Ila sijawah kutana nao halafu sio rahis kukataa mpangaji kwa uchumi huu unless labda utakuwa hauaminiki umekaa kijambazi jambazi
Ila nasikia kuna nyumbani nyengine hupati mpaka upitie kwa dalali wake, je kuna ukweli wowote hapa?