Ulikuwa katika hali gani mara tu ulipoanza kutumia kilevi?

Ulikuwa katika hali gani mara tu ulipoanza kutumia kilevi?

Inalipa

Member
Joined
Jun 30, 2022
Posts
63
Reaction score
77
Nakumbuka ndo siku ya kwanza jamaa yangu ndo anaanza kutumia kilevi, alipita anaimba njia nzima.

Kwa upande wako ilikuwaje?

1666596094923.png
 
Nilianza na vodka aisee nilicheka sana siku ile bila sababu nikawa nacheka tu alooh ndo gari ikawakia apo nilikuwa darasa la sita
 
Nakumbuka ndo siku ya kwanza jamaa yangu ndo anaanza kutumia kilevi, alipita anaimba njia nzima.
Kwa upande wako ilikuwaje?
Wengi wanaoimba wakilewa wanakuwa wamekunywa pombe za kienyeji mfano gongo.

Ni nadra sana kukuta aliyekunywa Hennesy anaimba barabarani
 
Asee nililia kipuuzi, halafu mbususu ndio iliniletea hiyo pombe(magic moments). Ilibidi aanze kulia na mimi.
 
Demi...mbona huyo alikunywa hzi hzi za kina safari na kilimanjaro?
 
Back
Top Bottom