Inalipa Member Joined Jun 30, 2022 Posts 63 Reaction score 77 Oct 24, 2022 #1 Nakumbuka ndo siku ya kwanza jamaa yangu ndo anaanza kutumia kilevi, alipita anaimba njia nzima. Kwa upande wako ilikuwaje?
Nakumbuka ndo siku ya kwanza jamaa yangu ndo anaanza kutumia kilevi, alipita anaimba njia nzima. Kwa upande wako ilikuwaje?
G Generetaion Z JF-Expert Member Joined Oct 2, 2022 Posts 343 Reaction score 874 Oct 24, 2022 #2 Nilianza na vodka aisee nilicheka sana siku ile bila sababu nikawa nacheka tu alooh ndo gari ikawakia apo nilikuwa darasa la sita
Nilianza na vodka aisee nilicheka sana siku ile bila sababu nikawa nacheka tu alooh ndo gari ikawakia apo nilikuwa darasa la sita
Inalipa Member Joined Jun 30, 2022 Posts 63 Reaction score 77 Oct 24, 2022 Thread starter #3 Generetaion Z said: Nilianza na vodka aisee nilicheka sana siku ile bila sababu nikawa nacheka tu alooh ndo gari ikawakia apo nilikuwa darasa la sita Click to expand... Duuh! umetisha
Generetaion Z said: Nilianza na vodka aisee nilicheka sana siku ile bila sababu nikawa nacheka tu alooh ndo gari ikawakia apo nilikuwa darasa la sita Click to expand... Duuh! umetisha
Demi JF-Expert Member Joined Nov 22, 2016 Posts 40,466 Reaction score 88,695 Oct 24, 2022 #4 Inalipa said: Nakumbuka ndo siku ya kwanza jamaa yangu ndo anaanza kutumia kilevi, alipita anaimba njia nzima. Kwa upande wako ilikuwaje? Click to expand... Wengi wanaoimba wakilewa wanakuwa wamekunywa pombe za kienyeji mfano gongo. Ni nadra sana kukuta aliyekunywa Hennesy anaimba barabarani
Inalipa said: Nakumbuka ndo siku ya kwanza jamaa yangu ndo anaanza kutumia kilevi, alipita anaimba njia nzima. Kwa upande wako ilikuwaje? Click to expand... Wengi wanaoimba wakilewa wanakuwa wamekunywa pombe za kienyeji mfano gongo. Ni nadra sana kukuta aliyekunywa Hennesy anaimba barabarani
FourTwoNet JF-Expert Member Joined Aug 4, 2022 Posts 1,236 Reaction score 2,512 Oct 24, 2022 #5 Asee nililia kipuuzi, halafu mbususu ndio iliniletea hiyo pombe(magic moments). Ilibidi aanze kulia na mimi.
Asee nililia kipuuzi, halafu mbususu ndio iliniletea hiyo pombe(magic moments). Ilibidi aanze kulia na mimi.
Inalipa Member Joined Jun 30, 2022 Posts 63 Reaction score 77 Oct 24, 2022 Thread starter #6 Demi...mbona huyo alikunywa hzi hzi za kina safari na kilimanjaro?