Ulikuwa kichwa shuleni? Andika neno lenye herufi tatu lenye maana

Upuuzi kabisa huu.....
Sijui jf imekuaje skuizi....[emoji53] [emoji53] [emoji45]
Mkuu usiilaumu JF bali baadhi ya members, nafikiri kuna haja ya uongozi kupima maudhui ya mada kabla ya kupandsha.
 
Mkuu usiilaumu JF bali baadhi ya members, nafikiri kuna haja ya uongozi kupima maudhui ya mada kabla ya kupandsha.
Naunga mkono hoja mkuu, maana humu pamekua na ombwe la threads zenye kiwango na maswali ya chekchea aiseeee.....
 
Haya ni matokeo ya elimu na uelewa mdogo wa umuhimu wa majukwaa kama haya ya JF kwa jamii hivyo kila awezaye kuandika anaandika tu!
Watu tujifunze kustahamiliana, huwenda kwako huu uzi hauna maana lakini labda kuna mzazi anataka kumfundisha mwanawe maneno yenye herufi tatu na yenye maana ndiyo maana ukaona kuna uzi kama huu, tupeane udhuru katika nia njema. Lakini pia nakumbuka mwalimu Nyerere alisema kwenye takataka unaweza ukapata almasi, tuvumiliane.
 
Sawa Vumilia, nimekuelewa. Basi kuwa mvumilivu kama avater/jina lako! Au siyo?
 
Poa wangu, basi changia hata kaneno cha herufi 3 kamoja chenye maana 😎
Pia yenye maana ya kile kitufe cha kuchezea kwa kupiga na kamba na kinazunguka! Wachache mtakifahamu! Maneno mengine ni pamoja na mia, koo, kiu na wewe malizia sasa.
 
Mno,tai,mia,hoi,kiu,doa,tia,huu,dau,bei,mei,buu,bua,gia,guu,bia,nia,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…