ju ma nchuki
JF-Expert Member
- Jun 5, 2018
- 205
- 96
Far
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu usiilaumu JF bali baadhi ya members, nafikiri kuna haja ya uongozi kupima maudhui ya mada kabla ya kupandsha.Upuuzi kabisa huu.....
Sijui jf imekuaje skuizi....[emoji53] [emoji53] [emoji45]
Naunga mkono hoja mkuu, maana humu pamekua na ombwe la threads zenye kiwango na maswali ya chekchea aiseeee.....Mkuu usiilaumu JF bali baadhi ya members, nafikiri kuna haja ya uongozi kupima maudhui ya mada kabla ya kupandsha.
Haya ni matokeo ya elimu na uelewa mdogo wa umuhimu wa majukwaa kama haya ya JF kwa jamii hivyo kila awezaye kuandika anaandika tu!Upuuzi kabisa huu.....
Sijui jf imekuaje skuizi....[emoji53] [emoji53] [emoji45]
Jf inaanza kupoteza mvuto wa mada na hoja kwakweli....Haya ni matokeo ya elimu na uelewa mdogo wa umuhimu wa majukwaa kama haya ya JF kwa jamii hivyo kila awezaye kuandika anaandika tu!
Mimi naanza
1: VUA
2: UZI
unaweza endelea
Watu tujifunze kustahamiliana, huwenda kwako huu uzi hauna maana lakini labda kuna mzazi anataka kumfundisha mwanawe maneno yenye herufi tatu na yenye maana ndiyo maana ukaona kuna uzi kama huu, tupeane udhuru katika nia njema. Lakini pia nakumbuka mwalimu Nyerere alisema kwenye takataka unaweza ukapata almasi, tuvumiliane.Haya ni matokeo ya elimu na uelewa mdogo wa umuhimu wa majukwaa kama haya ya JF kwa jamii hivyo kila awezaye kuandika anaandika tu!
Sawa Vumilia, nimekuelewa. Basi kuwa mvumilivu kama avater/jina lako! Au siyo?Watu tujifunze kustahamiliana, huwenda kwako huu uzi hauna maana lakini labda kuna mzazi anataka kumfundisha mwanawe maneno yenye herufi tatu na yenye maana ndiyo maana ukaona kuna uzi kama huu, tupeane udhuru katika nia njema. Lakini pia nakumbuka mwalimu Nyerere alisema kwenye takataka unaweza ukapata almasi, tuvumiliane.
Poa wangu, basi changia hata kaneno cha herufi 3 kamoja chenye maana 😎Sawa Vumilia, nimekuelewa. Basi kuwa mvumilivu kama avater/jina lako! Au siyo?
Pia yenye maana ya kile kitufe cha kuchezea kwa kupiga na kamba na kinazunguka! Wachache mtakifahamu! Maneno mengine ni pamoja na mia, koo, kiu na wewe malizia sasa.Poa wangu, basi changia hata kaneno cha herufi 3 kamoja chenye maana 😎
Mimi naanza
1: VUA
2: UZI
unaweza endelea