Nyankuzi
JF-Expert Member
- Nov 3, 2016
- 465
- 391
Netball basketball Football na yote uijuayo kasoro ya baba na mamaMichezo ipi?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Netball basketball Football na yote uijuayo kasoro ya baba na mamaMichezo ipi?
Kumbe ww ni sheForm two kiranja wa taaluma, form Three Dada mkuu.
Hahahaaa!!Netball basketball Football na yote uijuayo kasoro ya baba na mama
Kwa uandishi huu sidhani kama naweza kua peke yangu tu ambae nimeshindwa kuelewa ulichokiandika! Haraka ya nini Mkuu? Unawahi Treni?hahah,cijawah kuw kiranj ase wala monitor,sema nlikuwag napend san ila nyota n bhat kipind iko sis wengne tnakuwag nd wasmbuf w daras,hatpo smart au hat huw tnakuw w kwanz kutok mwshon ktika mitian ase,ilikuaga magape zaman prmary.teh
Hahah,amn mkuu nlikuwa naandka nina mausingzi.ngoja niedit aseKwa uandishi huu sidhani kama naweza kua peke yangu tu ambae nimeshindwa kuelewa ulichokiandika! Haraka ya nini Mkuu? Unawahi Treni?
Hahahhaahha tena she la ukweli mkuu!Kumbe ww ni she
Mkuu nilichaguliwa kishsbiki maana asilimia 90 walinipa kura...Sasa ningumu kwa mpigaji kelele maarufu wa zamani kuwageuka wenzake...Mi nikawa siwaandiki majina ila ndio naungana nao kama genge moja la wapiga kelele..Mashindano yaliendeshwa kwa njia ipi mpaka wewe ukawa Champion?😀😀
😀😀😀😀😀Mkuu nilichaguliwa kishsbiki maana asilimia 90 walinipa kura...Sasa ningumu kwa mpigaji kelele maarufu wa zamani kuwageuka wenzake...Mi nikawa siwaandiki majina ila ndio naungana nao kama genge moja la wapiga kelele..
Baada ya siku mbili za kuwa madarakani nikapinduliwa na ticha wa darasa
Hahaha uchochezi mi simoNilikuwa timekeeper toka darasa la tano nikaenda sekonda nikawa tena timekeeper form nikawa kiranja.wa tahaluma form 3 nikarudi tena timekeeper