Ulikuwa mpango wa Mungu kuhakikisha Magufuli anakuwa Rais kwanza ndio afariki

Ulikuwa mpango wa Mungu kuhakikisha Magufuli anakuwa Rais kwanza ndio afariki

Nina uhakika wa asilimia 99.99 kwamba hujasoma kabisa kilichoandikwa ndani ya mada ila umejibu kichwa cha habari.









Jitahidi kuziongoza hisia zako na sio kinyume.

Ahsante.
Mkuu shukran zangu zikufikie popote ulipo. Kuna watu huwa na tabia ya kusoma kichwa cha habari na kukimbilia ku comment bila ya kusoma na kuelewa kilichoandikwa ndani.

Ni sawa na wale wanaoitwa judge vitabu baada ya kusoma tu kava la juu.

Shukran sana mkuu 🙏
 
Uliyeandika huu uzi naomba unikumbushe hivi daraja la Tanzanite lilianza kujengwa wakati wa awamu ipi ya uongozi?, halafu tuanzie hapo.
Limeanza kujengwa wakati wa uongozi wa hayati Magufuli na kuisha kipindi cha uongozi wa raisi Samia.

Kwani wewe unaonaje?
 
Kila jambo nimipango ya Mungu ila ukilinganisha mabaya yake na mazuri yake Mola akamuona bora amwite maana angeendelea nchi ingekuwa ya ovyo sana
 
Umeshapata jibu la swali lako la nani mwenye kifua kizuri kati ya kiba na konde
Umenifanya nicheke sana. But nina imani ameshapata jibu kupitia yeye mwenyewe 🤣🤣🤣
 
Sasa kosa lake ni nini?
Achana nae huyo mkuu, kumbuka jana ilikuwa mwanzo wa weekend.

Hivyo nina imani jamaa alieni quote alikuwa ashakunywa chibuku yake na mapupu, hali iliyopelekea kujiona yuko sahihi hata pale alipoandika utumbo wa wazi kabisa 🤣🤣🤣
 
Achana nae huyo mkuu, kumbuka jana ilikuwa mwanzo wa weekend.

Hivyo nina imani jamaa alieni quote alikuwa ashakunywa chibuku yake na mapupu, hali iliyopelekea kujiona yuko sahihi hata pale alipoandika utumbo wa wazi kabisa [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Au ile ya mabibo ya korosho kule kusini wanaiita "nipa".
 
Back
Top Bottom