Ulikuwa na mtazamo gani kuhusu kuzika

Ulikuwa na mtazamo gani kuhusu kuzika

Mwachiluwi

JF-Expert Member
Joined
Mar 10, 2022
Posts
25,258
Reaction score
48,589
Habari za mchana

Naenda direct kwenye mada
Ulikuwa na mtazamo gani kuhusu kuzika na mala yako ya kwaza kuzika hilikuwaje

Mimi nilikuwa najua mtu akizikwa basi anakutokea usiku unapolala

Nakumbuka mara yangu ya kwaza kwenda kuzika nilikuwa darasa la tano mwezetu alifiwa na baba yake kwaiyo tukatakiwa kwenda kuzika na alikuwa muislamu kwaio walizika siku hiyo hiyo

Basi mimi nilienda huku naogopa tulifaka tukazika tukaludi nyumban kufika nyumban umeme umekatika kipindi hiko umeme ulikuwa unasumbua sana nilienda kubadili nguo nikawa nakaa nje nasubilia chakula nikawa nikitumwa nakimbia humo ndani mda mwingine nakataa kabisa

Basi nikaingia ndani dada angu akanigusa begani nililia kwasauti niligumia sana mpka akashanga

Ulipo fika muda wa kulala nilikesha macho nikisizia nakistuka nagumia mpka nikaenda kulala na dada angu siku hiyo
Sasaiv nikikumbuka najiona mjinga sana
 
Back
Top Bottom