michibo
JF-Expert Member
- Feb 16, 2015
- 2,315
- 3,915
Ule ujinga nilijilaumu sana baada ya kujua inatakiwa kuingia mpaka ndani,kulelewa getini nako bana kuna tabu zake,huwezi hata kushare stori za aina hiyo gospel family ,lol mimi
Kuingia ndani kivipi.? Kama ulianzia hapo na kuishia hapo (kwa maana ya mimba na ndoa) hujawai kufikiria kuwa huenda wengine hufanya tofauti..?