Ulikuwa Unajua hili kuhusu Movie za Eddie Murphy. Twende pamoja

Nililijua Hilo... Jamaa ni bonge la actor
Movie nyingine ya Eddie Murphy nliyoikubali ni Beverly hills cop Watoto wa juzi hawawezi kuielewa

Ova
 
Wazee wa kuomba mrejesho wa picha .......ipo siku mtu atakoment dhambi ........ndio hapo sasa sijui utasema na zenyewe unataka kuziona pia ..............😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Hilo nalifahamu jamaa alikuwa very talented ...

Kuna movie moja hivi ali act daah niliiona kitambo sana

Ameigiza na dogo mmoja hivi ana miujiza akishika mdudu hata jama alikufa anafufuka " yule dogo alikwenda kumfufua mpaka mama yake ..design jinsi ilivyo ni horror movie
 
Kweli mkuu nami niliiyona kitambo sana najaribu kuitafuta niirudie,
 
ndiye alikuwa jambazi mkahawani.akapigwa mtama na Eddy
Yeah niliona pale harafu kuna nyingine ile ya wakina inaitwa juice, yumo pia alikuwa kama kama ana duka flan hivi la games
 
Hilo nalifahamu jamaa alikuwa very talented ...

Kuna movie moja hivi ali act daah niliiona kitambo sana

Ameigiza na dogo mmoja hivi ana miujiza akishika mdudu hata jama alikufa anafufuka " yule dogo alikwenda kumfufua mpaka mama yake ..design jinsi ilivyo ni horror movie
Mkuu ebu jitahidi kuitafuta harafu nijurushe maana ni kipindi sana sijawahi kuiona tena nipe tu jina lake? Mi ntaitafuta
 
Hilo nalifahamu jamaa alikuwa very talented ...

Kuna movie moja hivi ali act daah niliiona kitambo sana

Ameigiza na dogo mmoja hivi ana miujiza akishika mdudu hata jama alikufa anafufuka " yule dogo alikwenda kumfufua mpaka mama yake ..design jinsi ilivyo ni horror movie
Golden child
 
Back
Top Bottom