Nicas Mtei
JF-Expert Member
- Dec 21, 2010
- 11,556
- 7,097
hahaa baba kijacho mambo ya Ulaya yakoje
Unanisingizia hua unamfata Evelyn salt, hujui hata moja nini?weweee
Ng'ari ng'ari Mama Kijacho
ah, hii yenyewe nayo bado majanga; still inahitaji pronaunsiesheni...yaani taabu tupu! hata Mwisho Mwampamba, mzungu mwenzao sidhani kama anaweza kuitamka hii!bezaydenhote
Mzuri....
duh 41? Hata mi mwenye 20's naonekana bibi hongera zake
angekuwa bongo huyo wananchi wangefanya juu,chini hadi wamsombe wabongo nomaaa
Laana ipi? au kumchamba yule miss ushuzi mavi designer wenu?Ana laana tu huyu mama, matusi sio ujanja ni ushamba tu
Tukubaliane kutokukubaliana inatoooosha
Si kihivyo kama unavyodhani, huyo mtoto wa Kimesera anatumia akili nyingi sana hapa duniani kama Maxence Melo, watu wa hivi hawana muda wa kuchanganywa na viruka njia muda wake anatumia kutengeneza masoftware.
kama wewe tu Baba kijacho