Linda mzuriii alafu achujiii
Umeshawahi kusikia chochote kuhusu LB Apparel.......Brand ya Fashion inayomilikiwa na Mtanzania Mwenzetu in US?.
Basi ndio huyu....She is 41;but look at her yashhhh.....Salut!
BTW,she is a sister of a former BBA Winner,Richard Bezuidenhout!
Yaan kama kuliwa huyuu unamla mzimaaaaaa
Yaan kama kuliwa huyuu unamla mzimaaaaaa
Mhhhh, wewe unatamanisha kwa maneno yako.
Hhhhhaaaaaa lo mi kule mtaa wenu nishaacha kupita napita kwa sinta kuna watu wana maneno mpaka siachi kupitaa aiseee
Umemuona Linda alivyo mzuriu jamaniiii
Uzuri Mzuri sana tu lakini naye Bangi tu bora alivyotoka facebook alikuwa anapost utumbo .....Kwa sinta niliona topic ya wanaume walafi jamani wapo wengi sana Wanawake tunamitihani sana , Topic kama ilinisema mimi five years ago! Mwanaume anakunywa soda hata tatu kwa siku mpaka friji iishe halafu hanunui ngo!
Duh I am stunned,ameolewa Huyu dada niko tayari kumuacha mke wangu lol
Huo upuuz bado sijaufikiia kuufanyaa yaan kutaman mpaka uache mke/mume haaaa
Ni mkaliii mpaka kusifia mwanamke mini ni mkaliii aisee
Huyu mwanamke hata akiniibia mume, simlaumu kabisa mume wangu namuachia kabisaa mzuri mnooo
Aiseee mdada ni mrembo kwa kweli
haki ya mama
maana duh!
Dada yake Richard wa BBA.
Neema za Allah.
bora huyu maaana ingekuwa yule mwingine saizi page ingekuwa ya 40 yule kinambi