Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

Umeshawahi kusikia chochote kuhusu LB Apparel.......Brand ya Fashion inayomilikiwa na Mtanzania Mwenzetu in US?.
Basi ndio huyu....She is 41;but look at her yashhhh.....Salut!
BTW,she is a sister of a former BBA Winner,Richard Bezuidenhout!

attachment.php

attachment.php

Duh I am stunned,ameolewa Huyu dada niko tayari kumuacha mke wangu lol
 
Hhhhhaaaaaa lo mi kule mtaa wenu nishaacha kupita napita kwa sinta kuna watu wana maneno mpaka siachi kupitaa aiseee
Umemuona Linda alivyo mzuriu jamaniiii

Uzuri Mzuri sana tu lakini naye Bangi tu bora alivyotoka facebook alikuwa anapost utumbo .....Kwa sinta niliona topic ya wanaume walafi jamani wapo wengi sana Wanawake tunamitihani sana , Topic kama ilinisema mimi five years ago! Mwanaume anakunywa soda hata tatu kwa siku mpaka friji iishe halafu hanunui ngo!
 
Hhhhhaaaaaaaa aiseee nilicheka mnioooooooo kuleeee
 
Aiseee huo mguu wake hadi nimeutamani.Kiukweli dada ni mzuri sana
 
bora huyu maaana ingekuwa yule mwingine saizi page ingekuwa ya 40 yule kinambi
 
Back
Top Bottom