Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

Ulikuwa unamjua Linda Bezuidenhout?

Kiroho safi huyu Dada ni mzuri balaa alafu she is in her 40s alafu nampenda coz Hana dharau
 

Attachments

  • 1411289175888.jpg
    1411289175888.jpg
    43 KB · Views: 1,015
  • 1411289205093.jpg
    1411289205093.jpg
    58.1 KB · Views: 969
nipogo ....kiboko kisa ?? halafu team Mange tupo wengi maana kila kinachoendelea mnacho lol ! karibuni tupate magauni Dinazarde...:coffee:

Hhhhhaaaaaa lo mi kule mtaa wenu nishaacha kupita napita kwa sinta kuna watu wana maneno mpaka siachi kupitaa aiseee
Umemuona Linda alivyo mzuriu jamaniiii
 
Back
Top Bottom