Ulikuwa unavaa minguo yako oversize Leo hii unajifanya mjanja!!!

Ulikuwa unavaa minguo yako oversize Leo hii unajifanya mjanja!!!

Kipapatiro

JF-Expert Member
Joined
May 18, 2017
Posts
1,129
Reaction score
1,497
Wadau,

Kuna mtu alikuwa hajui kuvaa yaani kila akivaa anavaa mibwanga bwanga. Huyo MTU alikuwa anavaa misuti ya kushonesha kwa FUNDI pale kkoo kidongo chekundu.

Huyo MTU Leo kapata ulaji anavaa suti za dukani na perfume anapiga siku hizi.....Huyo MTU tangu ajue utamu wa kiti anawaona wote mazwazwa ila yeye ndo njanja.

Huyo MTU no mwongo mwongo na mjanja mjanja sana. Huyo MTU anatumia mabavu kuongea na akiongea anataka asikilizwe yeye tu.

Huyo MTU pia hapendi kukosolewa na haoni shida kukutoa roho ukimkosoa.....

Huyo MTU.........haya malizia mdau
 
Wataje tu Magumashi na mdogo wake Bashite.

Mmojana suti oversize ya kushonesha kama Maalim, mwingine na baggylake la mtumba la FUBU.
qBag la fubu? Hahahaha...picha mkuu
 
Back
Top Bottom