juan moses
JF-Expert Member
- Feb 16, 2014
- 2,403
- 2,478
Guivarch Hapo Alipigwa Chini Akabebwa Nicolas Anelka. We Striker Hafungi Kama Beki. Yani Kwa Msiomjua Guivarch Ni Kama Giroud,Hata Giroud Afadhali Anafunga.Captain yupo bench mkuu?
Simuoni hapo Stephanie Guivarc'h mtaalam...
Sent using Jamii Forums mobile app
HapanaSio kwamba ulikuwa bwa mdogo sana Josee?!
Sylvester hakuwepo kikosini!Naona umemuacha Sylvester......
hiyo ngoma ilikuwa ya wakubwa, Ribery bado kabisa hapo!Frank ribery umemsahau
Namkumbuka ToldoHakuna Mechi Iliniuma kama Fainali ya Euro 2000 nilikuwa siwapend France toka Alivyowafunga Brazil 1998 na akaja fainali akampiga Italy
Italy wanapata Goli Wiltord anaswazisha ngoma inaenda Extra Time
Trezeguet anapiga Bonge la Goli Extra Time.
Mpira ulipokuwa mpira!Haaaaaaaaa 1998 Laurent Black anambusu Bartezi kipara chake kila gemu,solid defence line ile ilikuwa hatari sana huku katikati unamwona the Captain Didier mwenyewe
Hakuwepo kwenye Euro 2000Captain yupo bench mkuu?
Simuoni hapo Stephanie Guivarc'h mtaalam...
Sent using Jamii Forums mobile app
Aliteswa na DavidNamkumbuka Toldo
Ilibidi wafaransa wamlambe Kiatu cha pua Ndo Wilford akapata upenyo akachomoaNamkumbuka Toldo
Nyakati zimekwenda wapi? Lama alikuwa njema sana!Sub ya Barthez alikuwa mvuta bangi mmoja anaitwa Bernard Lama! Alikuwa noma sana yule. WC 1998 hakudaka hata mechi 1, alisugua zote!
Toldo alikuwa kikwazo sana!Ilibidi wafaransa wamlambe Kiatu cha pua Ndo Wilford akapata upenyo akachomoa
Ule ndio ulikuwa Mpira. Huu wa sasa ni mfano na Maigizo!Nyakati zimekwenda wapi? Lama alikuwa njema sana!
Ni kweli, hiyo ilikuwa Ufaransa iliyosheheni vipaji na wachezaji makini sana.hiyo ngoma ilikuwa ya wakubwa, Ribery bado kabisa hapo!
Hakuwepo,huyu wa juzi tuu,boranhata Louis SahaFrank ribery umemsahau
Marceli Dessailes anasahaulika vipi? patrick Viera je?Sub ya Barthez alikuwa mvuta bangi mmoja anaitwa Bernard Lama! Alikuwa noma sana yule. WC 1998 hakudaka hata mechi 1, alisugua zote!
Buffon,Barzagali,Georgie,marchisio,Montolivo,Lorenzo,hao ni baadhiTukumbusheni na kikosi cha Italy sasa!