Ulikuwa wapi wakati Ufaransa hii inaitoa nishai Italy Euro 2000

Ulikuwa wapi wakati Ufaransa hii inaitoa nishai Italy Euro 2000

Nilikua LA 4.Fainali ya worldcup 98 tuliangalia recorded.
Mechi nilikua zinarekodiwa mjini siku ya pili tunaletewa kijijini.
Wakati huo Nina vitabu viwili vya Dingi vimejaa stika za wachezaji.
 
nina umri wa miaka 11 nilitokea kuwapenda france toka 1998 walipomgaragaza brazil bao tatu mbili za header toka kwa fundi wa mpira
 
Back
Top Bottom