Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Binafsi nili miss uwepo wako bebe wangu....

A woman, stronger than anyone I know humu JF

Rebeca 83 you were missed darling [emoji7][emoji7][emoji8][emoji8]

nilimumiss pia bebi wangu,my one and only, haya mapenzi hayaa,naona aibu mwenzio....😀🙂
 
Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
updates ya maandamano ya polisi.ghafla nikajua tayari malaika kashashuka kufunga mtandao wa JF
 
Mi mwenyewe hii gemu nilikuwa naicheki huku nikiwa na mawazo kwamba jf ndo basi tena
Nilikua naifikiria sana Jf family, it's my second home. Watu wa humu ndani utadhani naishi nao nyumba moja.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…