Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Dah!!
Ilikuwa siku mbaya... Utamu wa Jf asikwambie mtu...

Hili shambulio lilikuwa si la nchi hii..

#POLE#SANA#JF#
 
Baada ya shambulio la jana lililopelekea mtandao pendwa kuwa down kwa masaa kadhaa na ukawa haupatikani kabisa uliwamiss member gani humu?
Ulimiss topic gani humu?
Ulimiss comments za member gani humu?
Nilimiss maandamano!
Hahahahaha
 
Back
Top Bottom