Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Kuzidiana mkuu...wewe unafikiri kama mtu kawanunua wachina watakuacha salama?
mkuu me nlijua tuu watachezewa kam kawaid yao uchaguzi uliopita kwaiy nikaona kawaida tuu san san nliamia zangu insta ya jamii forum[emoji23] [emoji23] [emoji23] kucheki wale wenye id nyingi nyingi humu wakipeana moyo
 
Kuna mtu niliona kaandika kamiss uzi wa shunie na shoga ake demiss na mzigua..sijui nan yule jaman nlitamani kumjua..ila jana nlikua na kazi mbovu kila mlalamikaji ilikua lazima nichungulie page yake..[emoji23][emoji23][emoji23] nikakutana na picha vikatuni mara private mweh
Hahaha ushilawadu bi kipaji ujue
 
Back
Top Bottom