Hammy Js
JF-Expert Member
- Sep 20, 2017
- 3,054
- 3,263
Kabisa, nikiwaga na njaa then pesa ya kula sina huwa nakuja huku kuzuga mpak njaa inapotea yenyewe[emoji41] [emoji41]Hahaaaa. Umeonaeee.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kabisa, nikiwaga na njaa then pesa ya kula sina huwa nakuja huku kuzuga mpak njaa inapotea yenyewe[emoji41] [emoji41]Hahaaaa. Umeonaeee.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mi jana kutwa nzima jf sikuigusa,Leo asubuh nalog in naona inagoma nikahisi nimekula ban. Kidogo nicreate new account[emoji1] [emoji1] [emoji1]
Hahaha mbebe si huko duniani mnawasiliana sasa au ni hapa hapa tu?Nilipatwa na mnyon'gonyo wa ghafla..nikawaza hivi ndio sitoona tena bango la mbebe vlad jamani..nlijua kuhangaika jana
Weeeh usinipangeHahhahah hauwezi shambuliwa tena max kasema
Fresh kabisa ndugu kwema?Ni aje mkuu hahahahahaha kwema??
Nilijuta kwanini sijatoa namba yangu at least niendelee kutongozwHahahaaaaa. Bora nyie.
Mie mpaka nakuja kukumbuka kuuliza watu duuh. Muda ushakwenda.
Mnabishania nini sasa?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumiss ebu nipe mguno wako kuna mtu tunabishana sana yaani mpaka tumewekeana dau la zawadi
Mngh![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] nimekumiss ebu nipe mguno wako kuna mtu tunabishana sana yaani mpaka tumewekeana dau la zawadi
[emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] kweli jamani kuna mmoja nilichat nae sana DM yaani halafu tunajuana huku nilimuuliza VPN gani anatumia akakataa kata kata kunitajia I'd yake yaan kaniambia nipo mmu sana chit chat na jukwaa la wakubwa
Hahaha[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] hivi itatokea tena haitatokea bana
[emoji23] [emoji23]khee kumbe kun watu wanaotaka namb za hajari hahahaha
Hahaaa. Hawezi wapa acha wajae tu.washajaa huko
Aaah!! Hahah ndugu yangu unanichomea utambi sasa, sema mchumba mwenyewe anajua kua nipo fasta sanaMkuu unaniangusha...mbona unajibu kibishi sana?