Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahahaaa. Hii yako kali Mkuu.Kabisa, nikiwaga na njaa then pesa ya kula sina huwa nakuja huku kuzuga mpak njaa inapotea yenyewe[emoji41] [emoji41]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahahaaa. Hii yako kali Mkuu.Kabisa, nikiwaga na njaa then pesa ya kula sina huwa nakuja huku kuzuga mpak njaa inapotea yenyewe[emoji41] [emoji41]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hakuangushi ndivyo alivyo huyo
Mngh!mie mpaka leo nadhani ni MACCM hayo yako responsible na kufungwa kwa mtandao wetu,maana habari za Mange zilikua live humu
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] kama nakuonaNimeimba sana mapambio na tenzi za rohoni jana
mkuu me nlijua tuu watachezewa kam kawaid yao uchaguzi uliopita kwaiy nikaona kawaida tuu san san nliamia zangu insta ya jamii forum[emoji23] [emoji23] [emoji23] kucheki wale wenye id nyingi nyingi humu wakipeana moyoKuzidiana mkuu...wewe unafikiri kama mtu kawanunua wachina watakuacha salama?
Hujui kua napika?Hakuangushi ndivyo alivyo huyo
Toa kabisa ili siku nyingine jf ikizingua usisumbukeNilijuta kwanini sijatoa namba yangu at least niendelee kutongozw
Hatujui huku anatumia I'd gani yaani akuje tuNdio nani huyo?
Hahaha ushilawadu bi kipaji ujueKuna mtu niliona kaandika kamiss uzi wa shunie na shoga ake demiss na mzigua..sijui nan yule jaman nlitamani kumjua..ila jana nlikua na kazi mbovu kila mlalamikaji ilikua lazima nichungulie page yake..[emoji23][emoji23][emoji23] nikakutana na picha vikatuni mara private mweh
khee kumbe kun watu wanaotaka namb za hajari hahahaha
Duniani tuna wasiliana..lakini kuona bango lako na jinsi anavyotoa mawazo yake kwa wengine hua najisikia burudaniHahaha mbebe si huko duniani mnawasiliana sasa au ni hapa hapa tu?
Hahahaaa. Umejua kunichekesha Miss.Nilijuta kwanini sijatoa namba yangu at least niendelee kutongozw
Ahahhaha nakupangaje mmWeeeh usinipange
Hahah inabidi unitafute pm aiseeHahahahaha davet akasema umelala tukusubili asubuhi asubuhi saa kumi na mbili nimeingia imefunguka, sasa kufungua post inagoma daaah.nimeteseka sana
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Wanakupenda pia shem
Mngh!
Kuhusu mguno wako kila mtu anauandika anavyojua ebu andika hapa jamani tuone ni sawaMnabishania nini sasa?
Wozeeeer kapatia jamani kumbe ni sawa ni hivyoMngh!
Yani kipaji haswa..ila jana walijua kutuvurugaHahaha ushilawadu bi kipaji ujue
Hahah inabidi unitafute pm aisee