Mdadavulie vizuri kabisabasi mim ni mdogo wake wa pili damu moja wa tatu Davet wa nne Mwifwa hiyo ndio family yetu katibu kak
Gadeeeeeeiimmmm!![emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85][emoji85] nawaza tu ungekuwa unakunywa kama shunie nikuhogoa imi
Niko imara, jana nilikupigia ukagoma kupokea simu yangu...Hahahaaa. Nimecheka na kujisikia aibu lol. [emoji85] [emoji85]
Ila natumai Babu wewe umzima wa afya.
Anhaaaa....Daaah
Mie natumiaga akili saana kuishi nao sema basi tuu!!
Safi kabisabasi mim ni mdogo wake wa pili damu moja wa tatu Davet wa nne Mwifwa hiyo ndio family yetu katibu kak
HahahaHamna bana kawaida tu tunatakiwa tuingize mguu mmoja ndani mwingine nje sio uingize yote ukiingiza yote wafwaaaa
Hahaaaa. Mie nimeamka nakuta wamenimention Davet na Mlima simba nikasema lol.Nishasema Dada yangu.
Davet nilikutana naye mida ya saa 7 usiku tukawa tunacheka tu jinsi tulivyohangaika
Vipi tena jamani mchepuko wangu kipenziAnhaaaa....
hahaha alihaha kam nilivyohahah mim leo
Kwani mpaka useme ilikua ni muda gani [emoji16]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Nika nika nika...
Ndio ndio ndio...
Hahah! Umeandika kwa hisia sana ndugu yangu pole sana
Hahahaaaa. Davet jamaaani lol.Nika nika nika...
Ndio ndio ndio...
Hahah! Umeandika kwa hisia sana ndugu yangu pole sana
Nimejua leo kuwa kumbe unachepuka na mimi kwa akili...Vipi tena jamani mchepuko wangu kipenzi
Babu yangu mie jamani nimekuhamu shikamoo babu umeelewaje hapo babuGadeeeeeeiimmmm!!
Hahaaaa. Mie nimeamka nakuta wamenimention Davet na Mlima simba nikasema lol.
Nyie ndio mateja wa kweli yaani hamkupata usingizi kabisa. Hahaaaaa.