Shadeeya
JF-Expert Member
- Mar 12, 2014
- 49,759
- 118,798
Hahaaa. Mawazo babu ya kuikosa jf. Pole sanaaa.Niko imara, jana nilikupigia ukagoma kupokea simu yangu...
Kwanini lakini?
Naomba upige tena leo nitapokea. [emoji85] [emoji85]
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hahaaa. Mawazo babu ya kuikosa jf. Pole sanaaa.Niko imara, jana nilikupigia ukagoma kupokea simu yangu...
Kwanini lakini?
Haujanielewa kabisa yaan dada hivi viumbe tunatakiwa tuishi nao kwa akili sana yaan sana unaingiza mmoja tu sio miguu yote akijua unampenda sana na umeingiza miguu yote shida sanaHahaha
Ko nitoe mmoja eeh, asante kwa kuniambia hilo
"Kila penye uzito na wepesi upo"Hahaaa. Mawazo babu ya kuikosa jf. Pole sanaaa.
Naomba upige tena leo nitapokea. [emoji85] [emoji85]
Anhaaa...Haujanielewa kabisa yaan dada hivi viumbe tunatakiwa tuishi nao kwa akili sana yaan sana unaingiza mmoja tu sio miguu yote akijua unampenda sana na umeingiza miguu yote shida sana
HahahaNimejua leo kuwa kumbe unachepuka na mimi kwa akili...
Hakika babu."Kila penye uzito na wepesi upo"
Jana nimecomment sio zaidi ya mara tano kuanzia saa kumi jioni, sikuwa na hamu kabisa kwa tukio la janaHahaaaa. Mie nimeamka nakuta wamenimention Davet na Mlima simba nikasema lol.
Nyie ndio mateja wa kweli yaani hamkupata usingizi kabisa. Hahaaaaa.
Mwifwa mimi (ndio) alinipigia simu kuniamsha huo usiku (ndio nika) amkaHahaaaa. Mie nimeamka nakuta wamenimention Davet na Mlima simba nikasema lol.
Nyie ndio mateja wa kweli yaani hamkupata usingizi kabisa. Hahaaaaa.
Hahhaha babu mpaka umecheka nilivyoongea ukweliAnhaaa...
Kijana anaharibuHahahahahaha aisee
Hahah!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Umesoma kwa makini mno hadi mimi sikujua kama nimeandika hizo ngeli nyingi hivyo
Nimejua leo kuwa kumbe unachepuka na mimi kwa akili...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hahaha
Hapana aki, umeelewa vibaya ujue
Si ndo natoa mguu mmoja ubaki mmoja au?!Haujanielewa kabisa yaan dada hivi viumbe tunatakiwa tuishi nao kwa akili sana yaan sana unaingiza mmoja tu sio miguu yote akijua unampenda sana na umeingiza miguu yote shida sana
Babu yangu mie jamani nimekuhamu shikamoo babu umeelewaje hapo babu
Aiseee"Kila penye uzito na wepesi upo"
Ameandika kwa hisia sana jamani adi nimemuhurumiaHahahaaaa. Davet jamaaani lol.
Nimejihisi kama naisikia sauti ya Mwifwa. Ila nika nika na hizo ndio ndio kweli mwifwa kajua kuzijaza. Teh teh teh.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hahaha alihaha kam nilivyohahah mim leo