Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Hahaaaa. Mie sio kwa muhangaiko ule aisee nikajua simu yangu kimeo nacheck MB ninazo kilichobaki nikubadilisha mikao tu mara sitting room mara chumbani mara kibarazani ilimradi tu eti naweza pata network.

Mpaka nakuja kujua kinachoendelea nilijicheka sana aiseee.

Kwa kuwa imesharudi sina budi kusema tugange yajayo.
Hahahahahahahahahahahahaahaaaaaaa.

ukhuty njoo huku tumpe pole Dada yetu
 
Back
Top Bottom