Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Ulilipokea vipi shambulio la JF?

Aiiiseee!,me nilihis kama simu yangu mbovu hivi!
Huu ujinga ulishawai kunifanya ni fute vitu kwenye Simu na app zote nikidhani kunatatizo Kama ni wewe Bichwa pale white milembe unachokonoa jf yetu ili ihalibike acha huo mchezo haraka sana
 
Back
Top Bottom