Mamaya
JF-Expert Member
- Jul 4, 2011
- 5,067
- 4,434
Heshima kwenu wadau, katika harakati za mawazo yanuwekezaji, kuna mdau alinidokeza juu ya kilimo cha mkonge, ila kwa kuwa sijawahi waza, wala kupata mtu ambaye amewahi kufanya hiki kilimo.
Naomba kupata details za:
1. Upatikanaji wa mbegu/ miche
2. Uhakika wa soko
3. Muda wa kuanza kuvuna tangu kupanda na unavuna kwa muda gani ndio unapanda mwingine
4. Makadirio gharama za upandaji heka moja, gharama za kuhudumia wastani wa heka moja
5. Mkonge unauzwa kwa kilo ama nini?
Karibuni kwa ushuhuda ndugu zangu