With all the grands and donations you still fail to meet your targets, you can't even manage to raise 10% of the remaining part.Hahahahaha, failed state ninyi, mnapanga budget kubwa wakati hamna pesa mnategemea kukopa
It's only LDC that are still given grants and donations.Leta ushahidi, Tanzania is not failed state like Kenya. Tumewajengea reli Uganda, tunaenda kuwajengea barabara DRC, bure kwa pesa yetu. Hahahahaha
Tanzania is in the list of both failed states and LDCs with high number of poor civilians in the region.Leta ushahidi, Tanzania is not failed state like Kenya. Tumewajengea reli Uganda, tunaenda kuwajengea barabara DRC, bure kwa pesa yetu. Hahahahaha
KRA inakusanya 1.8 trl, na bajeti yenu ni 3.1trl. Nusu kwa nusu. Hahahahaha, Hahahahaha.
Leta ushahidi, Tanzania is not failed state like Kenya. Tumewajengea reli Uganda, tunaenda kuwajengea barabara DRC, bure kwa pesa yetu. Hahahahaha
Wacha ujinga stop displaying your ignorance and little education.Yes KRA inakusanya Kes 1.9tr direct taxes na hizo zingine zinaletwa na various license fees/permits,court charges ,fines ,document charges ,mineral royalties etc. MJINGA WA MWISHO WEWE ...all these charges are NOT included in KRA tax collection data.KRA inakusanya 1.8 trl, na bajeti yenu ni 3.1trl. Nusu kwa nusu. Hahahahaha, Hahahahaha.
Wivu wako ni mkubwa kuliko bajeti yenu ...hapo kuna deficit kali sana. Bajeti ya Kenya ni kubwa sababu uchumi wake ni mkubwa na ni uchumi umeendelea zaidi Afrika Mashariki ,duhhh.Hahahahaha, failed state ninyi, mnapanga budget kubwa wakati hamna pesa mnategemea kukopa
Haya ndio maumivu ya kukesha kwenye jukwaa la Kenya, bila shaka lazima dish litayumba kama la mwenzako Geza Ulole. Na bado, Kenya itakuvuruga akili hadi upoteze focus kabisa. Utavunda kwa kukosa kuoga kwasababu kazi itakuwa ni kuwaza Kenya kutoka chee hadi machweo.Hiyo clip niliyokuwekea hujaiona na kusikiliza au njaa inasumbua?
Hahahahaha, Tanzania is a great Nation. Ninyi mnadaiwa kila kona ya dunia, hadi wachina wamewakimbia, na mumeshindwa kumalizia kipande kidogo tu cha SGR kutoka Naivasha hadi Kisumu, Hahahahaha.Hhhhhh!!!basi km sio mkopo mabeberu watawafadhili km kawaida yenu....haki ya nani...ldc n ldc tu
Kenya ipi inayonikosesha usingizi?, hii hapa? https://www.nation.co.ke/business/B...from-World-Bank/996-5134194-ync97f/index.htmlHaya ndio maumivu ya kukesha kwenye jukwaa la Kenya, bila shaka lazima dish litayumba kama la mwenzako Geza Ulole. Na bado, Kenya itakuvuruga akili hadi upoteze focus kabisa. Utavunda kwa kukosa kuoga kwasababu kazi itakuwa ni kuwaza Kenya kutoka chee hadi machweo.
Wivu wako ni mkubwa kuliko bajeti yenu ...hapo kuna deficit kali sana. Bajeti ya Kenya ni kubwa sababu uchumi wake ni mkubwa na ni uchumi umeendelea zaidi Afrika Mashariki ,duhhh.
Hahahahaha, wajinga ninyi hamna pesa mnategemea kutembeza bakuli.
Kweli wewe sio mchumi... ukijua kile umesema ni ujinga kabisa utajionea huruma.Mm sio mchumi ila nahisi budget yao sio kubwa ila kutokana na exchange rate ya pesa yao ksh na ela zetu tsh ndio mana tunaona kuwa sana bajeti kubwa kuliko ss
Mfano exchange rate ya sasa ni 1tsh=24ksh so ndio mana tunaona pesa yao ni ming
Yes great nation...bwahahaa...vipi hao mabeberu watawazawadia lini hyo tsh20 trillion...Hahahahaha, Tanzania is a great Nation. Ninyi mnadaiwa kila kona ya dunia, hadi wachina wamewakimbia, na mumeshindwa kumalizia kipande kidogo tu cha SGR kutoka Naivasha hadi Kisumu, Hahahahaha.
Tuletee ya tbc kuhusu tsh 20 trillion km serikali itatoa wapi...manake sijaelewa hzo tv stations zenu...au watangazaji wenu wanaogopa kutekwaHivi UK yuko wapi siku hizi, haijaonekana kitambo toka ile kesi ya gold smuggling...
Kwa hali ilivyo kiuchumi KE wameanza kumkumbuka Mwai Kibaki...
Tanzania is a donor country, Tulipeleka misaada, Msumbiji, Zimbabwe na Malawi. Tumeijengea reli Uganda, tunaenda kujenga barabara za Eastern DRC kuunganisha na Tanzania. Kenya hata kumalizia kipande cha SGR toka Naivasha mpaka Kisumu hamuwezi, failed state indeed. Hahahahaha, hahahahaha.Yes great nation...bwahahaa...vipi hao mabeberu watawazawadia lini hyo tsh20 trillion...
Yani bajeti ndogo km piriton deficit kubwa kama mara moja...duh!!
Magu hoyeeee....na wakishawapa huo msaada mfungue thread...
Yani nchi ni Ldc tena ni failed state...wah!!
Vipi...mmeshapata mgao wa hela kutoka kw waume zenu mabeberu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania is a donor country, Tulipeleka misaada, Msumbiji, Zimbabwe na Malawi. Tumeijengea reli Uganda, tunaenda kujenga barabara za Eastern DRC kuunganisha na Tanzania. Kenya hata kumalizia kipande cha SGR toka Naivasha mpaka Kisumu hamuwezi, failed state indeed. Hahahahaha, hahahahaha.
Na mkashindwa kupeleka misaada kagera na bukoba...[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Tanzania is a donor country, Tulipeleka misaada, Msumbiji, Zimbabwe na Malawi. Tumeijengea reli Uganda, tunaenda kujenga barabara za Eastern DRC kuunganisha na Tanzania. Kenya hata kumalizia kipande cha SGR toka Naivasha mpaka Kisumu hamuwezi, failed state indeed. Hahahahaha, hahahahaha.
Wuhuhuuuu!!!nyie ngojeni migao ya ration...ldc katika ubora wao[emoji1784][emoji1784][emoji1784]Kenya hoyeeeeeeeeeeBroke Kenya seeks Sh75bn from World Bank
The debt position has reached a dangerous level that it poses a real and massive systemic risk.www.nation.co.ke