joto la jiwe
JF-Expert Member
- Sep 4, 2017
- 26,117
- 46,617
- Thread starter
- #81
Kuna uwezekano Uganda wakaomba tuwapelekee SGR hadi Kampala, ni chini ya 200Km kutokea Rusumo, mpaka wa Tanzania na Rwanda, wakiomba tutawajengea. Hahahahaha, Hahahahaha,.Vipi...mmeshapata mgao wa hela kutoka kw waume zenu mabeberu..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kenya mkiomba chakula tutawapa, bure kabisa, Hahahahaha, Hahahahaha