Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
You've been playing that same side of the old record for too long my friend, flip it up to hear what the other side is about...What can a poor man from a poor country tell Kenya?. A country that can't even finance its budget but only depends on grands from other country. A country that Kenya gives a donation of ksh 100m. A country that is professional in being lazy and killing albinos and a sorcery level next to none.
Hahahahaha, umezungumza kwa hasira sana, pole sana jirani.What can a poor man from a poor country tell Kenya?. A country that can't even finance its budget but only depends on grands from other country. A country that Kenya gives a donation of ksh 100m. A country that is professional in being lazy and killing albinos and a sorcery level next to none.
[/QUOTE]Hapo point no (2) Ndege zitakuwa 11, kuna Airbus nyingine 2 na moja ya mizigo zinawekewa down payment this financial year. Hahahahaha, umezungumza kwa hasira sana, pole sana jirani.
1) Tanzania tunajenga Electric train kwa pesa za ndani, Kenya hata diesel train mumeshindwa kujenga.
2) Tanzania tumenunua ndege 8 kwa mpigo kwa pesa ya ndani, Kenya baada ya miaka 50 ya kufanya biashara KQ ina ndege 3 tu.
3)Tanzania inajenga Super high way kwa pesa ya ndani, Kenya mlikopa hamna uwezo kujenga kwa pesa yenu.
4)Tanzania inajitoshekeza kwa chakula na kuweza kuwauzia nchi zaidi ya 10 ikiwemo Kenya. Hadi Leo Kenya inapokea msaada wa chakula.
4) Tanzania ina the best public Hospitals, wakenya wanavuka mpaka kuja kutibiwa cancer na MOYO.
Hahahahaha, Hahahahaha, Hahahahaha.
Wewe comments na posts zako zote hapa about Kenya huwa na machungu sana. Hatuwezi kuwa na small budget vitu mob zisimame, we got salaries to pay, roads to upgrade, etc. Uko na mentality ya poverty.Zungumzia hili la kupanga bajeti kubwa nje ya uwezo wenu mkitegemea kukopa, ninyi ni failed state kabisa
merciMimi ni mtanzania , lakini sioni taabu kukubali kuwa Kenya wametuzidi kwa kila hali , sasa sisi tuko LDC group nao ni uchumi Wa kati, hiyo ni evidence kuwa kwa takwimu zozote utakazoleta hazitafuta ukweli kuwa Tz tuko nyuma ya Kenya. Binadamu mkamilifu unakubali udhaifu wako kwanza halafu unajipanga, nifanye nini ili nimfikie Jirani. Kutengeneza takwimu za uongo huwezi kufuta ukweli kuwa Kenya wako mbele yetu. Wenye hatimiliki ya Uzalendo mtanishambulia lakini haitaondoa ukweli kuwa Kenya collects more revenue that Tanzania licha ya kwamba wao ni wachache kuliko sisi 45m/sisi 52m. Naomba wajuzi wanijulshe kuwa ni vigezo gani wanatumia kuita Kenya ni failed state, na je hizo sifa Tz hatumo.? Kwa sababu zile sifa kama coletion of revenue , democracy, per capita income , bajeti yao hawalipi madeni makubwa kila mwezi kama Tz. Sasa ni creteria ipi tunahalalisha sisi sio failed state ,bali wao ni failed state. Nataka nigoogle sifa za failed state niwajibu wazalendo vipofu niwaelimishe mkinishambulia
Failed state haimaanishi less developed. Means likely inaweza enda into chaos, that list iko na nchi kama Egypt na Iran pia bruh.Kenya is a failed state according to international criteria, sio according to you or me.![]()
US firm ranks Kenya as 'failed state' despite peaceful poll
Kenya ranked as 'failed state'www-nation-co-ke.cdn.ampproject.org
Kenya is a failed state according to international criteria, sio according to you or me.![]()
US firm ranks Kenya as 'failed state' despite peaceful poll
Kenya ranked as 'failed state'www-nation-co-ke.cdn.ampproject.org
Sawa mmetuzidi kila kitu wakenya mpo juu kinyama..The International Monetary Fund and World Bank plus UNDP all rank Tanzania an LDC country .Hii Kenya imewashinda mbali in military budget,national budget ,life expectancy ,Human Development Index na zinginezo.
Kukopa pesa kujazilizia budget sio kosa BT wakenya hebu kuweni serious na viongozi wenu wanaiba mno afu bado mnachekea si wenzenu tunajua madhara ya kucheka na kima ilibaki kidogo bagamoyo tufanyiwe umafia BT thanx kwa mkuluu..Wewe comments na posts zako zote hapa about Kenya huwa na machungu sana. Hatuwezi kuwa na small budget vitu mob zisimame, we got salaries to pay, roads to upgrade, etc. Uko na mentality ya poverty.
Najua sio rahisi kukubaliana na ukweli mchungu, hasa kwa watu wenye tabia ya kupenda SIFA za kijinga kama ninyi, bado upo katika "denial stage", wenzako wengi walipinga mwanzoni, ila kwasasa wamegundua ukweli na wameshalibaliana na huu ukweli japo ni ngumu sana kukubali.Hahaha kumbe huko ndio mlitoa hii kitu ya failed state. Hio 'failed' actually ni mispelling by journalists au alifanya on purpose kuuza magazeti.
The ranking is called 'Fragile state ranking'.
Poleni, mumekua mkitumia mispelling kuita Kenya failed state. Report ni juu ya political elections pekee hakuna kitu kama debt au health au infrastructure humo. Only reason Tanzania iko ranked better than Kenya ni mnaogopa rais hata hamwezi ongea kura ikiibiwa
Najua sio rahisi kukubaliana na ukweli mchungu, hasa kwa watu wenye tabia ya kupenda SIFA za kijinga kama ninyi, bado upo katika "denial stage", wenzako wengi walipinga mwanzoni, ila kwasasa wamegundua ukweli na wameshalibaliana na huu ukweli japo ni ngumu sana kukubali.
Soma kwa makini hii article hapa chini, itakusaidia kukubali kwa urahisi kwamba Kenya is a failed state.
Kenya a failed State? On what evidence?
WALLINGFORD: Kenya a failed State? On what evidence?www-nation-co-ke.cdn.ampproject.org
Hahahahaha, umezungumza kwa hasira sana, pole sana jirani.What can a poor man from a poor country tell Kenya?. A country that can't even finance its budget but only depends on grands from other country. A country that Kenya gives a donation of ksh 100m. A country that is professional in being lazy and killing albinos and a sorcery level next to none.
Na bado hao failed state ndo role model wenu east afrika...mnataka kuwa km wao lkn haiwezekeni ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Najua sio rahisi kukubaliana na ukweli mchungu, hasa kwa watu wenye tabia ya kupenda SIFA za kijinga kama ninyi, bado upo katika "denial stage", wenzako wengi walipinga mwanzoni, ila kwasasa wamegundua ukweli na wameshalibaliana na huu ukweli japo ni ngumu sana kukubali.
Soma kwa makini hii article hapa chini, itakusaidia kukubali kwa urahisi kwamba Kenya is a failed state.
Kenya a failed State? On what evidence?
WALLINGFORD: Kenya a failed State? On what evidence?www-nation-co-ke.cdn.ampproject.org
Hahahahaha, role model wanakuja kuomba chakula?. Dunia simama tukojoe.Na bado hao failed state ndo role model wenu east afrika...mnataka kuwa km wao lkn haiwezekeni ..[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Punguza hasira....role model wa tanzania ni kenya....[emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]Hahahahaha, role model wanakuja kuomba chakula?. Dunia simama tukojoe.
Duu humu ndani moderators muwe mnaweka na umri wa member kwenye profile zao ili tuwe tunachagua nani wa kumjibu na nani wa kumwacha bila kumjibu maana duuuPunguza hasira....role model wa tanzania ni kenya....[emoji1784][emoji1784][emoji1784][emoji1784]