KakaJambazi
JF-Expert Member
- Jun 5, 2009
- 18,804
- 12,227
Siku izi waafrica na hasa wabongo wakipiga picha lazima waonyeshe alama ya V, au kumwonyeshe kidole mwezake.
Ivi huwa mnajua maana yake au mnaiga tu?
Kwann mnakuwa feki ivi?
Ivi huwa mnajua maana yake au mnaiga tu?
Kwann mnakuwa feki ivi?