KakaJambazi JF-Expert Member Joined Jun 5, 2009 Posts 18,804 Reaction score 12,227 Jul 29, 2010 #1 Siku izi waafrica na hasa wabongo wakipiga picha lazima waonyeshe alama ya V, au kumwonyeshe kidole mwezake. Ivi huwa mnajua maana yake au mnaiga tu? Kwann mnakuwa feki ivi?
Siku izi waafrica na hasa wabongo wakipiga picha lazima waonyeshe alama ya V, au kumwonyeshe kidole mwezake. Ivi huwa mnajua maana yake au mnaiga tu? Kwann mnakuwa feki ivi?