Jumanne Mwita
JF-Expert Member
- Nov 18, 2014
- 563
- 1,567
Sheria ndio zinakuhukumu siyo hisia tena πSuala sio mimba tu, ile kwamba uligegeda msichana chini ya umri wa miaka 18 unafungwa jela.
Huwa napata kichefu chefu Cha kutaka kutapika kusikia kuna mtume alikua anadinya katoto ka miaka tisa
Mpaka ubambikiwe ni tayari ushailoweka , kula mwanafunzi au mtoto wa chini ya miaka 18 ni kosa kisheria.Bora hiyo ya mimba kuharibika? Je ya kubambikiwa?
Kuna family friend, ilimkuta hii, kijana alikutwa hatiani na case ya ujauzito wa mwanafunzi, kijana akahukumiwa jela 30yrs, huku nyuma yule binti alijifungua salama mtoto wa kiume, ila sura ilikua ya kijana mwingine kabisa,
Mtoto anakua huku anaonesha baba ake halisi ni yupii, yaan mtoto copy na Baba ake,
Baadae family ya kijana ambae ndo mwenye mtoto, wakaomba wapewe damu yao, na wao watalipia gharama zote zilizowahi kutumika tangu mimba hadi pale alipo, familia ya binti ilikataa ikasema huyu mtoto baba ake yupo jela, binti anahamaki yule sio mtoto wake huyu, nilikosea tyuuh kumtaja, kwakua hao vijana wote wawili alikua ana mahusiano nao.
Binti akawapa wenye mtoto wao, Jah sio Juma, yule kijana alipata msamaha wa Rais, hapo ashasota 16yrs, anategemea arudi amkute mwanae. Anafika anauliza mwanae yuko wapi? Anaambiwa ile mimba haikua yako, haamini anaoneshwa mtoto mwenyewe alikubali sio wake, jamaa kumuuliza binti vipi nilienda gerezani ilihali haikua mimba yangu, binti anasema mie sikujua mimba ilikua ya nani, nkaona nikutaje wee.
Jamaa akasema namtaka mwanangu, aliyenifanya niende jela, sijui utamtoa wapi ila hapa namtaka na nianze kuishi nae, nimeteseka na kuhangaika huko juu yake.
Binti hajui anafanyaje, na mtoto ashakabidhi kwa wenye wao halali, jamaa akasema miaka yote niliyokua jela italipiwa, km sitapewa mtoto wangu.
Mtoto na mama yake walikufa kifo cha kutatanisha, jamaa alienda msumbiji, piga kipapai ikadaka, watuu chaliiii.
Inaumiza sana kwa kweli.
Ni kosa kisheria sawa, ila kuhukumiwa kwa kosa la mwingine Je? Kwanini huyo dada hakumtaja muhusika? Si alikua analowekwa na wengi eeeh?Mpaka ubambikiwe ni tayari ushailoweka , kula mwanafunzi au mtoto wa chini ya miaka 18 ni kosa kisheria.
Huko kwa mtaalamu itakuwa wewe ndio uli muelekeza jamaa!Bora hiyo ya mimba kuharibika? Je ya kubambikiwa?
Kuna family friend, ilimkuta hii, kijana alikutwa hatiani na case ya ujauzito wa mwanafunzi, kijana akahukumiwa jela 30yrs, huku nyuma yule binti alijifungua salama mtoto wa kiume, ila sura ilikua ya kijana mwingine kabisa,
Mtoto anakua huku anaonesha baba ake halisi ni yupii, yaan mtoto copy na Baba ake,
Baadae family ya kijana ambae ndo mwenye mtoto, wakaomba wapewe damu yao, na wao watalipia gharama zote zilizowahi kutumika tangu mimba hadi pale alipo, familia ya binti ilikataa ikasema huyu mtoto baba ake yupo jela, binti anahamaki yule sio mtoto wake huyu, nilikosea tyuuh kumtaja, kwakua hao vijana wote wawili alikua ana mahusiano nao.
Binti akawapa wenye mtoto wao, Jah sio Juma, yule kijana alipata msamaha wa Rais, hapo ashasota 16yrs, anategemea arudi amkute mwanae. Anafika anauliza mwanae yuko wapi? Anaambiwa ile mimba haikua yako, haamini anaoneshwa mtoto mwenyewe alikubali sio wake, jamaa kumuuliza binti vipi nilienda gerezani ilihali haikua mimba yangu, binti anasema mie sikujua mimba ilikua ya nani, nkaona nikutaje wee.
Jamaa akasema namtaka mwanangu, aliyenifanya niende jela, sijui utamtoa wapi ila hapa namtaka na nianze kuishi nae, nimeteseka na kuhangaika huko juu yake.
Binti hajui anafanyaje, na mtoto ashakabidhi kwa wenye wao halali, jamaa akasema miaka yote niliyokua jela italipiwa, km sitapewa mtoto wangu.
Mtoto na mama yake walikufa kifo cha kutatanisha, jamaa alienda msumbiji, piga kipapai ikadaka, watuu chaliiii.
Inaumiza sana kwa kweli.
ππππ kwanini IB? Sio bhanaa. Mbna wao wenyewe makonkii wa ulozii.Huko kwa mtaalamu itakuwa wewe ndio uli muelekeza jamaa!
Hii noma sanaNi kosa kisheria sawa, ila kuhukumiwa kwa kosa la mwingine Je? Kwanini huyo dada hakumtaja muhusika? Si alikua analowekwa na wengi eeeh?
Ndo hicho yeye na mwanae wako huko ardhini wanatafunwa na funza. Jamaa yuko zake anakula dona km kawa, hata km aliteseka na kuhangaika huko jela, ila leo yuko uraiani anaswampa km kawaida,
Unaionajee hiyoo?
Hii noma sana
wewe huwa una penda kutaja waganga humu,ππππ kwanini IB? Sio bhanaa. Mbna wao wenyewe makonkii wa ulozii.
Huyo jamaa nampongeza sana kwa kazi nzuri aliyofanya Msumbiji.Mtoto na mama yake walikufa kifo cha kutatanisha, jamaa alienda msumbiji, piga kipapai ikadaka, watuu chaliiii.
Inaumiza sana kwa kweli.
Kwa kweli.Huyo jamaa nampongeza sana kwa kazi nzuri aliyofanya Msumbiji.
πππππππ kwanini IB? Sio bhanaa. Mbna wao wenyewe makonkii wa ulozii.
Kwa kweli ulozi na ushirikina naabudu sana, wala sifichi, nimekulia kwenye koo yenye heka heka hizii.wewe huwa una penda kutaja waganga humu,
hadi kuna siku uli taka kumsaidia mtu namba za mganga amroge ex wakeππ