cocastic
JF-Expert Member
- Nov 30, 2019
- 123,324
- 202,767
Afu wee kiumbe nilikumic sanaa, na ulipotea mnoo?πππ
Nimefurahi kukuona hapa tena. π₯°π₯°
Afu wee kiumbe nilikumic sanaa, na ulipotea mnoo?πππ
Nipoo tu mkuu"β€οΈAfu wee kiumbe nilikumic sanaa, na ulipotea mnoo?
Nimefurahi kukuona hapa tena. π₯°π₯°
inatanuka mkuu ikipenya tu hakuna shidaSuala sio mimba tu, ile kwamba uligegeda msichana chini ya umri wa miaka 18 unafungwa jela.
Huwa napata kichefu chefu Cha kutaka kutapika kusikia kuna mtume alikua anadinya katoto ka miaka tisa
mwanmke anagegedwa hata miaka 2Suala sio mimba tu, ile kwamba uligegeda msichana chini ya umri wa miaka 18 unafungwa jela.
Huwa napata kichefu chefu Cha kutaka kutapika kusikia kuna mtume alikua anadinya katoto ka miaka tisa
Wee mbona haukuwa unaonekana? Nikahisi umebadili I'D,Nipoo tu mkuu"β€οΈ
βοΈNipo mwingi mkuu" emu njoo huku upande wa pili ππβ
hahaha we kweli mental, mimi baada ya mshua wangu kukata maji ndio nili onyeshwa dunia.Kwa kweli ulozi na ushirikina naabudu sana, wala sifichi, nimekulia kwenye koo yenye heka heka hizii.
Wagangaa nawajua mnoo, na chalee zao mwilini zipoo.
Vipi we hutaki nikupelekee uka boost ndagu ya kuweka kwa biashara zako?
ππππππ
Kosa huwa sio MIMBA....... Kosa ni KUGEGEDA mwanafunzi(mimba ni moja ya matokeo tu ya kugegeda)Bora hiyo ya mimba kuharibika? Je ya kubambikiwa?
Kuna family friend, ilimkuta hii, kijana alikutwa hatiani na case ya ujauzito wa mwanafunzi, kijana akahukumiwa jela 30yrs, huku nyuma yule binti alijifungua salama mtoto wa kiume, ila sura ilikua ya kijana mwingine kabisa,
Mtoto anakua huku anaonesha baba ake halisi ni yupii, yaan mtoto copy na Baba ake,
Baadae family ya kijana ambae ndo mwenye mtoto, wakaomba wapewe damu yao, na wao watalipia gharama zote zilizowahi kutumika tangu mimba hadi pale alipo, familia ya binti ilikataa ikasema huyu mtoto baba ake yupo jela, binti anahamaki yule sio mtoto wake huyu, nilikosea tyuuh kumtaja, kwakua hao vijana wote wawili alikua ana mahusiano nao.
Binti akawapa wenye mtoto wao, Jah sio Juma, yule kijana alipata msamaha wa Rais, hapo ashasota 16yrs, anategemea arudi amkute mwanae. Anafika anauliza mwanae yuko wapi? Anaambiwa ile mimba haikua yako, haamini anaoneshwa mtoto mwenyewe alikubali sio wake, jamaa kumuuliza binti vipi nilienda gerezani ilihali haikua mimba yangu, binti anasema mie sikujua mimba ilikua ya nani, nkaona nikutaje wee.
Jamaa akasema namtaka mwanangu, aliyenifanya niende jela, sijui utamtoa wapi ila hapa namtaka na nianze kuishi nae, nimeteseka na kuhangaika huko juu yake.
Binti hajui anafanyaje, na mtoto ashakabidhi kwa wenye wao halali, jamaa akasema miaka yote niliyokua jela italipiwa, km sitapewa mtoto wangu.
Mtoto na mama yake walikufa kifo cha kutatanisha, jamaa alienda msumbiji, piga kipapai ikadaka, watuu chaliiii.
Inaumiza sana kwa kweli.
Kuna kiumbe alitaka kuniletea ujuaji? Nikamuamuonesha km alizoea kuchezea na kutapeli wengine, hapa kwangu alinyooka.hahaha we kweli mental, mimi baada ya mshua wangu kukata maji ndio nili onyeshwa dunia.
maana ndugu zake wali taka vitu vingi kupita maelezo, nika waonyesha umwamba mahakamani.
wao waka nionyesha dunia nisiyo ijua, kudadadeki sio poa ππ
Binti na mtoto ni marehemu kwa sasa, wamesha fariki mda sana.Kosa huwa sio MIMBA....... Kosa ni KUGEGEDA mwanafunzi(mimba ni moja ya matokeo tu ya kugegeda)
Kama mlikua mnagegeda 10 lakini denti akahisi MIMBA itakua ni yako ujue huo ni msala umekuangukia ukatajwa peke yako wenzako wakapona akiwemo mtia mimba halisi
Dogo awe mpole tu, nikweli alibambikiwa mimba tu(pengine ni kutokana na utoto wa denti) lakini alifungwa KIHALALI kwa kugegeda mwanafunzi
Zingekuwa nchi zenye mifumo mizuri ya sheria huyo aliyekuja kudai mtoto naye angekamatwa na kufunguliwa mashtaka ya kubaka mwanafunzi...... Kwasababu jinai haina ukomo
Ndio maana wakina R Kelly walishitakiwa kwa ubakaji waliofanya miaka 20 nyuma
Ndo hapo sasa, tena wanaliwa hadi na wanafunzi wenzao.Shida ni mimba kama ni suala la kuliwa mabinti wanaliwa sana
Dah ninacho kukubali huwa huvungi wala huyumbi, dah ππKuna kiumbe alitaka kuniletea ujuaji? Nikamuamuonesha km alizoea kuchezea na kutapeli wengine, hapa kwangu alinyooka.
Hana hamu kabisaa, ππππππ
Kuna shost niliwahi mpeleka maeneo kwa mtaalamu, anauliza huku wee ulipajuaje? Nkamuambia em tulia wee, tufanze kilichotuleta, ananiogopaa, utasikia wee shost sio wa mchezo.
ππππππ
πππππDah ninacho kukubali huwa huvungi wala huyumbi, dah ππ
Kwa sheria na mazingira yetu kibongo bongo huwa inakua ngumu kuthibitisha kama fulani anamgegeda denti hata kama mtaa mzima wanajua kwasababu ni kazi sana kuwakamata tit for tat wakiwa wanagegedana....... Ni mlolongo mrefu wakupimana hadi DNA kuthibitisaBinti na mtoto ni marehemu kwa sasa, wamesha fariki mda sana.
Sasa km ishu ni kugegeda, mbona case huwa inaanza baada ya mimba kuwepo? Bila mimba mbona hakunaga case?