TAJIRI MKUU WA MATAJIRI
JF-Expert Member
- Dec 1, 2010
- 11,999
- 24,328
ULIMWENGU HAUNA NJE WALA NDANI ,YANI NDANI NDIO NJE ,NJE NDIO NDANI
•Katika maisha ya kawaida, tunaelewa ndani na nje kwa mfano wa boksi au chumba,ukiwa ndani ya nyumba kuna dari, ukuta, na mlango
•ukiwa nje ya nyumba upo mahali tofauti kabisa,kuna ukuta wa kugawanya ndani na nje,kwahiyo,ndani na nje ni tofauti kwa sababu kuna kizuizi au ukuta unaotenganisha.
Sasa kuna wazo la ajabu na kuvutia katika moja ya tawi la hisabati ,topology,tawi linalo uhusika na maumbo na nafasi "KLEIN BOTTLE "
• Hiyo hapo chini ni klein bottle ,sasa klein bottle ni nini ??swali
Hii ni chupa au tunaweza kiita kifa kilichogunduliwa katika miaka ya 1882 na bwana felix klein ,
• Emb chukulia chupa ya plastic yenye shingo ndefu ,ina mdomo juu na tumbo ndani , Sasa chukua mdomo wa hiyo chupa, uipindishe kupitia ukuta wa chupa, uuingize ndani hadi ufike chini bila kuvunja chupa.
mdomo wa chupa utakuwa umeungana na tumbo lake kwa ndani,Ukianza kutembea mstari mmoja, utajikuta umejipindua polepole hadi unarudi pale pale
•Kwa mujibu wa klein bottle model ,kunauwezekano mkubwa kuwa ulimwengu ni tube ring kubwa inayojimeza yenyewe ,na ukijaribu kutembea basi utaishia kuzunguka humo humo ,nikama utepe
• Kwa kawaida utepete uwa na kingo mbili lakini kama utachukua utepe ,au karatasi ,na ukajadibu kutengeneza mobius strip ,ambapo kimepindishwa almost nyuzi 180 ,ukianza kuchora mstari kwenye uso wake bila kuacha, utarudi ulipoanzia bila kutoka nje. Yaani, ni upande mmoja unaojizungusha,
•Kawaida utepe una kingo mbili. Möbius ina ukingo mmoja tu unaozunguka,Haieleweki ni juu au chini,kwa sababu imepindika kiasi kwamba juuya karatasi imekuwa chini na kurudi juu.
•Wanasayansi huchora Klein bottle katika 3D (kama sanamu au picha), lakini ni kujaribu tu kuwakilisha kitu kutoka 4D.,Kama vile kivuli cha mti kivuli si mti halisi, ni picha ya mwelekeo mmoja.
•Ukiwa ndani ya Klein bottle,huwezi kutoka nje,Kwa sababu nje sawa na ndani,Kama ukianza kusafiri moja kwa moja, utajirudia kwa upande mwingine, lakini bila kupinda
•Katika harakati za kutaka kujua muundo wa ulimwengu kiujumla ,hadi kufikia karne ya 21 ,hapa wanasayansi waliamua kuunganisha topology na cosmology na kuibua klein universe na kupendekeza kuwa Ulimwengu mzima una muundo wa Klein bottle yaani, nafasi ya ulimwengu imejizungusha yenyewe kwa namna ya non-orientable surface,
•Kwa sasa, hakuna ushahidi wa moja kwa moja kwamba ulimwengu wetu ni Klein bottle.
Lakini… kuna ushahidi wa kisayansi wa moja kwa moja unaounga mkono uwezekano huu
1 .Watafiti wa NASA na ESA kupitia CMB symmetry waliona viashiria vya patterns zilizojirudia katika Cosmic Microwave Background (CMB), ambavyo vinaweza kutokea kwenye klein universe .
2.Hatujawahi kuona ukuta wa ulimwengu yaani, hakuna mpaka wa wazi, Hii inaendana na Klein geometry.
3. Pia mathematically hiko possible Klein bottle ni suluhisho halali kabisa la Einstein Field Equations kwenye General Relativity,