Ulimwengu na Kessy ni tatizo Taifa Stars

Kalolelo

Senior Member
Joined
Oct 17, 2018
Posts
164
Reaction score
244
Kamwe cjawah kuona tija ya kumwita ulimwengu hajitambui kabsa awapo uwanjani anakimbiakimbia na kuzunguka na kukosa welekeo hajitambui kabsa wajibu wake anatumia nguvu nyingi bila msingi wowote hata kama akipata nafasi kuitumia hawezi kabsa, the same kwa kessy huwa anafanya makosa ya kijinga na kufanya faulo za kijiinga zisizo za lazima hasa Timu inapokuwa imefungwa mechi ya kesho wasianze kabsa Hawa Hawana lolote ni shida na mzigo
 
Ahuweni ya Kessy ila huyu ulimwengu sijui ni mchezaji wa timu gani.
 
Kessy ni taka taka nashangaa ni kivip yupo timu ya taifa... apo bora namba 2 acheze nyoni tu
 
Reactions: a45
Wanaojua mpira walimkubali huyo ulimwengu na ndio maana anacheza nje ya nchi na anaitwa Taifa stars
 
Wanaojua mpira walimkubali huyo ulimwengu na ndio maana anacheza nje ya nchi na anaitwa Taifa stars
Hana chochote anajikanyaga tu nguvu nyingi akili kidogo ndo maana samata alimwacha akasepa zake Ulaya yeye akapigwa chini na TP mazambe hata baada ya mechi dhidi ya Cape Verde alikuwepo hapa TZ yawezekana hata timu anayochezea kashapigwa chini
 
Usisahau kwenye man to man marking Hasan kesy is the best. Yule hapitiki kirahisi. Makosa huwa anatabia kama ya tshishimbi ,anaperform mpaka majukumu ya wengine. Hivyo anavuruga mfumo na shape ya ulinzi.
 
Hana chochote anajikanyaga tu nguvu nyingi akili kidogo ndo maana samata alimwacha akasepa zake Ulaya yeye akapigwa chini na TP mazambe hata baada ya mechi dhidi ya Cape Verde alikuwepo hapa TZ yawezekana hata timu anayochezea kashapigwa chini
Kumbuka ametoka kwenye majeruhi, naskia alipasuliwa goti, ningumu kurudi mchezoni ghafla, hata Mimi pia simuoni ulimwengu Yule.
 
Kessy inamfaa namba 7 au 11 sio beki, ni mwepesi sana na mfupi sana kuweza kuhimili msukumano na mipira ya krosi.
Kuhusu Ulimwengu mimi sijawahi kuuina mpira wake wa kiwango cha kuichezea timu ya taifa, ni bora angeitwa Ajibu badala yake.
 
kessy ana rafu za kijinga halafu anapenda kubishana na refa ni rahisi kupata kadi nyekundu na kuwatowa wenzie mchezoni rekodi zake toka akiwa simba na yanga zinaonyesha hivyo
 
Ajibu pamoja na uvivu wake wa kijinga ni bora kuliko ulimwengu
 
Kessy yupo NKANA huko Zambia, na last week amechukua tuzo na timu yake Ktk "Fa ya Zambia!" Wewe huko Sokoni Kilombero unahorojoka!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…