Kamwe cjawah kuona tija ya kumwita ulimwengu hajitambui kabsa awapo uwanjani anakimbiakimbia na kuzunguka na kukosa welekeo hajitambui kabsa wajibu wake anatumia nguvu nyingi bila msingi wowote hata kama akipata nafasi kuitumia hawezi kabsa, the same kwa kessy huwa anafanya makosa ya kijinga na kufanya faulo za kijiinga zisizo za lazima hasa Timu inapokuwa imefungwa mechi ya kesho wasianze kabsa Hawa Hawana lolote ni shida na mzigo