Kijakazi
JF-Expert Member
- Jun 26, 2007
- 7,093
- 10,469
Hiyo hapo chini interview ya Ulimwengu baada ya Magufuli kuchaguliwa kuwa raisi wa Tanzania, kamwagia sifa kibao na kumponda Kikwete kwa kumuuzi Kagame, ukiangalia na kusoma vizuri utaona who is pulling the strings hapa Tanzania, jisomee mwenyewe hapo chini, Ulimwengu wa wakati Magufuli anaelewana na Kagame na Ulimwengu wa leo ambapo Magufuli (RIP) hayupo, halafu mwenyewe tafuta common denominator ili ujue na kupata picha halisi kwamba hatuna nchi hapa.