Mfumo wowote wenye kujielewa unahitaji design ya watu wenu…watu wa Kupiga kelele na kulinda mageti wakati wenye access wakiwa ndani wanakula. Tena sasa utakuta Ulimwengu huyu huyu unayemtukana analamba asali akiwa kwenye sofa ndani ya lounge na hao hao unaowalindia mageti.Ulimwengu ana laana ,shukrani kwa watanzania wamempuuza
Maadui kwa marafiki, wote wamegoma kumzika mioyoni mwao. Hatari sana!Huyu mwamba hafi tu midomoni mwa watu anazidi kuongelewa kila siku kwa mazuri ,mabaya na kukumbukwa tu.
Tena laana ya mku nduUlimwengu ana laana ,shukrani kwa watanzania wamempuuza
Msingi was siasa za Tanzania ni Unafiki. Hii ñi kuanzia juu mpaka chiniHiyo hapo chini interview ya Ulimwengu baada ya Magufuli kuchaguliwa kuwa raisi wa Tanzania, kamwagia sifa kibao na kumponda Kikwete kwa kumuuzi Kagame, ukiangalia na kusoma vizuri utaona who is pulling the strings hapa Tanzania, jisomee mwenyewe hapo chini, Ulimwengu wa wakati Magufuli anaelewana na Kagame na Ulimwengu wa leo ambapo Magufuli (RIP) hayupo, halafu mwenyewe tafuta common denominator ili ujue na kupata picha halisi kwamba hatuna nchi hapa.