Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Habari wana JF,

Baada ya tathmini ya muda mrefu kuhusu masuala ya Sat tvs na jinsi wtu wanavyohangaika kutwa kucha kutafuta elimu hiyo, nimeona mimi nami kuanzisha mada hii ili niweze kuwafahamisheni kidogo ninachoelewa kuhusu masuala ya sat tv.

Kwa uzi huu utajishughulisha zaidi na sattelites gani zinapatikana maeneo yetu, jinsi ya kuweka sat dishes na sizes zake.

Update uzi wako umepitwa na wakati kabisa, watu wanataka mbinu mpya sio kila mtu anatueleza chaneli zinazokuja na kupotea, yaani tangu mwaka 2012, tueleze ni jinsi gani scrambled channels can be unscrambled, the easiest way please.
 
Kwa nini wewe usilete hio mbinu kama unajua ipo. Tatizo la watu wengine mnapenda kujifanya wajuaji sana. Kosoa halafu toa mbadala sio blaa blaa tu. Nyie ndio wale wa kusema Azam tunafungua kumbe uongo mkubwa tu.
 
Nyie ndio mnaojifanya kufundisha watu kitu msichokijua, sina muda wa FTA, ninalipia pale ninapohitaji kuangalia decoder, za bure zinaonekana tu kwenye digital tv yangu yenye kighamuzi, usipende vya bure.
 
Habari wakuu, nna dish la Zuku bila king'amuzi, naskia kuna ving'amuzi visivyolipiwa...nawezaje kupata iko king'amuzi kuunganisha na dish langu?
Asanteni.
 
Jambo wote humu,
Nimependa sana utaalamu uliotumika kwenye hii picha,
Naomba kujua ukubwa wa hili dish na mpangilio wa LNB na satellite inazopata na jeNaweza ku-combine kwa pamoja Apstar 7 at 76.5°E, Intelsat 20 at 68.5°E, Intelsat 906 at 64.2°E and NSS 12 at 57.0°E????
asanteni.
 
yes inawezekaza
 
Attachments

  • Sport 24 setting.jpg
    Sport 24 setting.jpg
    37.1 KB · Views: 189
  • Image Sport 24.jpg
    Image Sport 24.jpg
    36.6 KB · Views: 171
Back
Top Bottom