Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Decoder yeyote ya HD yaweza kunasa channels za beIN Sports lakini haina uwezo wa kuzifungua. beIN Sports wana decoder za kwao ambazo nizakulipiwa.
Wanazipataje maana hapa tabora naona watu wa cable wana provide
 
Kwa wale mafundi wa madish tu,naomba namba yako ya simu hapa yenye akaunti ya whatsapp au PM nikuunge kwenye group kwa lengo la kubadilishana ujuzi tu
mkuu samahani naomba msaada wa jinsi ya kuapply moderm kwenye receiver kwa ajili ya kuupdate powervu
 
Jamani mimi sijui hili wala lile kuhusu hizi mambo... Ila naombeni muongozo nifanye nn kupata channel kwa dishi receiver ni DVB MPEG2 GULF BOX FTA 703s
 
Jamani mimi sijui hili wala lile kuhusu hizi mambo... Ila naombeni muongozo nifanye nn kupata channel kwa dishi receiver ni DVB MPEG2 GULF BOX FTA 703s
Kwa hiyo receiver utapata channels chache maana nyingi kwa sasa zipokatika mfumo was mpeg4, na ulikuwa unataka channels zipi na una dish laze gani
 
Back
Top Bottom