John Mulengeki
Member
- Sep 14, 2017
- 20
- 8
Je beinsport channels zinapatikana kwa kutumia decoder gan?
Vip decoder zake zipo bongo?Tstv hivo kinahitwa
Wanazipataje maana hapa tabora naona watu wa cable wana provide
Decoder yeyote ya HD yaweza kunasa channels za beIN Sports lakini haina uwezo wa kuzifungua. beIN Sports wana decoder za kwao ambazo nizakulipiwa.
Hii ni kali!![emoji33][emoji33][emoji33]View attachment 110491nani anaweza kufunga maujanja haya tuhabarishane wakuu
Watu wamekata tamaa na FTA maan ni pasua kichwaFta members mpooo
Kwanini pasua kichwaWatu wamekata tamaa na FTA maan ni pasua kichwa
mkuu samahani naomba msaada wa jinsi ya kuapply moderm kwenye receiver kwa ajili ya kuupdate powervuKwa wale mafundi wa madish tu,naomba namba yako ya simu hapa yenye akaunti ya whatsapp au PM nikuunge kwenye group kwa lengo la kubadilishana ujuzi tu
Receiver ya aina gani? Hiyo mpaka unataka kutumia Modem na sio data storage device??mkuu samahani naomba msaada wa jinsi ya kuapply moderm kwenye receiver kwa ajili ya kuupdate powervu
Ni receiver ya tiger T245+pro mkuu nataka kuweka moderm kwa ajili ijiupdate biss key na powervuReceiver ya aina gani? Hiyo mpaka unataka kutumia Modem na sio data storage device??
Huwezi king'amuzi pekee kinachopokea chaneli za fta ni Azam.[/QUOTE continental ipo vzr kwa free to air kuliko azam
ipo sana tu mpaka uwe na receiver ya mpeg 4 frequency 4066v1329Mbona channel ten siipati kwenye satellite ya is906 64.2E?
0753505115Kwa wale mafundi wa madish tu,naomba namba yako ya simu hapa yenye akaunti ya whatsapp au PM nikuunge kwenye group kwa lengo la kubadilishana ujuzi tu
Kwa hiyo receiver utapata channels chache maana nyingi kwa sasa zipokatika mfumo was mpeg4, na ulikuwa unataka channels zipi na una dish laze ganiJamani mimi sijui hili wala lile kuhusu hizi mambo... Ila naombeni muongozo nifanye nn kupata channel kwa dishi receiver ni DVB MPEG2 GULF BOX FTA 703s