Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

MboMbona amos 5 satellite ipo na ndo naitumia Napata FTA channel za continental, azam, ting na nk
 
Mbo
Mbona amos 5 satellite ipo na ndo naitumia Napata FTA channel za continental, azam, ting na nk
...
dishi mwelekeo niwapi?...jua linakozama au linapochomoza.
Itapendeza kama ufahamu utaruhusu, azimuth na elevation ... uko wapi?
...
 
Hallo, naomba muongozo namna yA kufungua DVB T2, zinazotumia miiba ya Samaki. Je ntapata channels ngapi na Zipi ambazo zinapatikana free on air? Msaada plz. Nawasilisha.
 
Hallo, naomba muongozo namna yA kufungua DVB T2, zinazotumia miiba ya Samaki. Je ntapata channels ngapi na Zipi ambazo zinapatikana free on air? Msaada plz. Nawasilisha.
Hivi receiver gani nzuri kwa FTA ya mp4 na bei yake?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…