Ulimwengu wa FTA Satellite TVs

Habari za wakati huu mafundi? Naomba kuuliza kama inawezekana kupata azerspace 1 (46e) pamoja na intelsat22 (72.1e) kwa wakati mmoja na kwa kutumia dish moja. asanteni
Ndio ila Azerspase iwe ya Ku no rahisi zaidi
 
...
Kuna vitu vya kuangalia kabla ya swali kupata jibu linaloelekea. Vitu kama aina na ukubwa wa dishi.

Kwa kuangalia nyuzi za sat zilizotolewa ni dishi la c-band lina husika zaidi hasa kwa nyuzi 72.1e, ila tofauti ya nyuzi 26, itabidi lnb zote ziwe kwa pembeni ..
...
 
Dish ni futi 8 mkuu
 
Dish ni futi 8 mkuu
...
Anza kwa kuweka alama kwa dishi unapopata azerspace1 na intelsat22 wakati lnb iko kati. Gawanya hizo alama na ufunge dishi hapo. Anza kubahatisha kwa umbali wa vipenyo viwili vya lnb kuzunguka inapotakiwa ifungwe lnb ..
...
 
Mkuu nimejibu kwa ufupi nikijua aliyeuliza ni Fundi. Naamanisha no dish LA ft6 hadi na 8 afunge C band kwa ajili ya 72 kina ITV na 46 Ku kwa ajili ya Continetal. Ila kama Anataka C band mbili aandae Maji Lita 20 maana niliwahi funga ila nilichoka kweli.
 
...
Anza kwa kuweka alama kwa dishi unapopata azerspace1 na intelsat22 wakati lnb iko kati. Gawanya hizo alama na ufunge dishi hapo. Anza kubahatisha kwa umbali wa vipenyo viwili vya lnb kuzunguka inapotakiwa ifungwe lnb ..
...
Jibu ni rahisi tu imetofautia ft 1⅓ HIVO atafute tu kitu chenye umbali huo
 
...
Ni sawa anaweza kuwa fundi mzoefu, ila msomaji mwigine atapenda kufahamu kinachoendelea badala ya majibu ya mkato ..
Ulifanikiwa kufunga C mbili ! Ipi ilikaa kando? ..
...
 
...
Ni sawa anaweza kuwa fundi mzoefu, ila msomaji mwigine atapenda kufahamu kinachoendelea badala ya majibu ya mkato ..
Ulifanikiwa kufunga C mbili ! Ipi ilikaa kando? ..
...
Zote 72 na 46 zilikaa kando 57 ndo liweka kati
 
Humu ndani mafundi amjambo,nina maswali mengi sana kwenu ila natamani kujua kama mpo active, maana huu ukurasa umepoa sana,japo ni eneo muhimu sana kwa kujenga na kukuza wigo wa kuongeza maarifa aswa kipindi hiki ya ulimwengu wa sayansi na teknolojia,

Baada salam zangu kwenu,naomba niwaache na swali,kati ya Dish la nyavu na Dish la Bati lipo lenye nguvu? nikimaanisha nguvu kwenye signal,

Mwisho yeyote mwenye Dish la Ft8 analoliuza njoo inbox tafadhali
 
Jibu la kwanza: Dishi la Bati lina nguvu zaidi ya Nyavu kwenye signal strength.
Jubu la pili: Uko wapi iwapo kuna dishi la Ft8?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…